Natafuta Account ya Youtube Inayokaribia kutoa matangazo

Natafuta Account ya Youtube Inayokaribia kutoa matangazo

pharao

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
404
Reaction score
744
Habari, Nahitaji account ya Youtube inayokaribia kutoa matangazo. kwa yeyote alitenayo anicheki tafadhari.
 
sihitaji yenye matangazo mkuu, nahitaji adsense iliyosetiwa UK
Unaseti mwenyewe mkuu,Maana ukiwa na copy ya taarifa za ulipolipia kodi yako una update na kujitoa kwenye mfumo wa awali. Mfano mm nilikuwa inasoma marekan nikaenda kulipia huku tz nikaaatch zile taarifa nikahamisha
 
sipati maoni yako, je! unataka kupata mapato kutoka kwa chanel yako ya youtube?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom