natafuta account ya instagram kuanzia 50k

natafuta account ya instagram kuanzia 50k

kitomali

Member
Joined
Sep 21, 2012
Posts
43
Reaction score
15
habar wana jamvi najitokeza kutafuta instagram account ya kununua yenye kuanzia followers 50,000 elfu hamsini mahususi kwa ajili ya kuanzishia biashara, yoyote mwenye nayo au kumfamhamu mtu anaeuza tuwasiliane kwa no 0738299299 au kmussa1@hotmail.com
 
Zipo nyingi tatizo nyingi zina followers hewa..na waarabu ambao hawawezi hata nunua unachouza

Kila la kheri
 
ni bora ufanye sponsor ads.. maana utawafikia watu waliopo eneo unakusudia... kuliko account za kununua zimejaa followers waarab wako zao uarabuni.. hawanunui wala hata kulike bidhaa hawalike
 
NAIPATAJE MKUU?
TATIZO HII BIASHARA WENGI NI MAJIZI
Mimi yangu ni ya follower wakibongo hakuna hayo mambo kama ukitaji utakuja tunauziana mkono kwa mkono nakupa detail unachange huku unatoa hela zako.karibu mkuu.
 
Mimi ndio best instagram Acc. SELLER na nina followers wa kibongo ila utaweza lipia? aisee maana sio michosho tu..
Kuna 30k, 10k, 5k, 45k
 
Ungempata Amber rutty ingekuwa vzr zaid maana hao followers mmmhhh na kwa sasa HAITUMII
 
Back
Top Bottom