Download wewe mwenyewe. Hiyo tv si ni smart? Ina uwezo wa kufungua Internet?Jamani napanda ukujukwaani kutoa hitaji langu.nina tv yangu lg 3d lakin ninauhaba wa movie za 3d sina ata moja kila nikienda wanapouza movie hiz za kubarni awana nimezunguka sana naomba kwa anayejua zinapopatikana anijulishe niko ARUSHA
Kadi ya simu au. Au ya nini, je aina wi-fi. Au bluetooth.ndio ni smart lakin pale netflix inaniitisha card
netflix ni ya kulipiacard ya visa sijui ndio credit card ili ndio zifunguke maana naona youtube azipo
kama sio za battery movie za kawaida tu za 3d zitakubali,lakin sio za betry