Dingswayo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 4,019
- 2,932
Natafuta apartments 2 za kupangisha kuanzia mid December 2009 mpaka mid January 2010. Apartments hizo ziwe karibu na maeneo ya mjini, ziwe na fence na sehemu ya kutosha ya ku park magari. Huduma zingine kama maji, umeme ni muhimu pia. Naomba unitumie PM kama unaweza kunisaidia. Natanguliza shukrani.