Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,972 Reaction score 30,154 Dec 30, 2012 #21 special agent said: je umefanya kama jinsi nilivyo kuelekeza coz mm ndiyo huwa nafanya hivyo na innakubali pia unaweza ukasema umempelekea mtu wa kukusaidia lakin naye akawa hajui ila ukimuonesha hiyo sms nadhani anaweza akafanikiwa Click to expand... Nimecheki mkuu, ipo kwenye tigoweb. Kiduka chenyewe nlichonunulia ni cha uchwara tu pale Mwenge, wameshindwa kunisaidia masuala ya warrant!!
special agent said: je umefanya kama jinsi nilivyo kuelekeza coz mm ndiyo huwa nafanya hivyo na innakubali pia unaweza ukasema umempelekea mtu wa kukusaidia lakin naye akawa hajui ila ukimuonesha hiyo sms nadhani anaweza akafanikiwa Click to expand... Nimecheki mkuu, ipo kwenye tigoweb. Kiduka chenyewe nlichonunulia ni cha uchwara tu pale Mwenge, wameshindwa kunisaidia masuala ya warrant!!
S special agent JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 325 Reaction score 74 Dec 31, 2012 #22 Shark said: Nimecheki mkuu, ipo kwenye tigoweb. Kiduka chenyewe nlichonunulia ni cha uchwara tu pale Mwenge, wameshindwa kunisaidia masuala ya warrant!! Click to expand... Now it,s beyond of my scope
Shark said: Nimecheki mkuu, ipo kwenye tigoweb. Kiduka chenyewe nlichonunulia ni cha uchwara tu pale Mwenge, wameshindwa kunisaidia masuala ya warrant!! Click to expand... Now it,s beyond of my scope
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,972 Reaction score 30,154 Dec 31, 2012 #23 special agent said: Now it,s beyond of my scope Click to expand... Imekubali kaka, nimegusa gusa palepale uliponiambia, imekubali now. But tatizo sasa inakubali baadhi ya web kama JF, facebook NO, But ahsante sana hata hivyo
special agent said: Now it,s beyond of my scope Click to expand... Imekubali kaka, nimegusa gusa palepale uliponiambia, imekubali now. But tatizo sasa inakubali baadhi ya web kama JF, facebook NO, But ahsante sana hata hivyo