Nimefanya usaili kwa waliokuja PM. Ila nasikitika kutangaza kwamba hakuna aliyekidhi vigezo. Maana nilisema vigezo n mashrti kuzingatiwa. Nashukr kwa ushirikiano wenu mliouonyesha. Naombeni msinipm tena maana milango imefungwa.Mimi ni mvulana mwenye umri wa 26ys. Naish dar natafuta mwanamke wa kuish nae awe mkweli na mwaminifu, kabila lolote, dini yoyote. Vigezo na masharti vitazingatiw. Karbu PM kwa maelezo zaidi
Unafunga milango wakati bado hujapata.Nimefanya usaili kwa waliokuja PM. Ila nasikitika kutangaza kwamba hakuna aliyekidhi vigezo. Maana nilisema vigezo n mashrti kuzingatiwa. Nashukr kwa ushirikiano wenu mliouonyesha. Naombeni msinipm tena maana milango imefungwa.
Basi umepata.Nimefunga mkuu
Muda niliouweka umepita
Mi mkubwa ww wanjiru.
Tatizo lao wakiwa na 18-25yrs wanaringa sana.Nimeona wanaokuja vigezo nisifuri