Natafua mchumba

caltacy

Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
7
Reaction score
1
Ni msichana nina miaka24 natafuta mchumba mwenye kazi but except mwalimu awe mkristo.
 
ni msichana nina miaka24 natafta mchumba mwenye kazi but except mwalimu awe mkristo

Iringa Umesharudi? Kwahiyo Sisi Walimu Ndiyo Hatujui KUBANDUA au Hatuna HELA au? Tufafanulie Mkuu Tafadhali.
 
Umejiunga jana Leo unataka mchumba. Huku mitandaoni sio salama sana.
 
asiwe mwalimu??? in that case ukichepuka asikufundishe faida za uaminifu na hasara za kutoka nje ya ndoa?...I will give you credit, unajua kweli kulenga mbele
 
Umejiunga jana Leo unataka mchumba. Huku mitandaoni sio salama sana.
unamfundisha usalama wa huku? from the beginning amesema hataki mwalimu...na najua amejiunga huku kwa sababu si salama I mean aidha yeye si salama au huku si salama
 
Kwa niaba ya wahusika "umejiandaaje kwa ndoa tarajiwa" kama hujui mume bado baambiege, kam ulishawahi kubakwa, wewe ni kimodo au tipwatipwa, kama wewe ni mchaga sema ili mis chaga ajue
 
kigezo cha dini kimentoa katika kinyang'anyiro! mama huwezi kulegeza kdogo hapoo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…