natafta temporary

wewwe khauka wewe, kijana mdogo wa miaka 23, unajidai unatafuta sana kazi,,, mimi nnavojua wakati huu wa sasa vyuo vimefungwa kwa likizo fupi, huna haja ya kutafuta kazi, kaa nyumbani msaidie baba kazi zake, kama hana, saidia hata beki 3 pale hom kupika na kufua au shuguli yeyote pale nyumbani, huwezi kuniconvice kwamba nyumbani kwenu hakuna hata shuguli kidogo ya kinyumbani,,itakua hamuishi maisha ya mtanzania wa kawaida..,kwahiyo mdogo wangu nakushauri fanya kazi za kinyumbani kwa sasa, halafu wakati wa likizo ndefu ya august ile ya mwisho wa mwaka ndo ufanye field au temporary work...usiwe na haraka sana na maisha... Hata sisi tulipita hukohuko

sawa bro.. Nshakuelewa sitafti tena tempo ntakaa tu nyumbani na kumsaidia beki 3.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom