incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,229
- 3,525
Taratibu rangi yako halisi inaanza kuonekana.Nipo Dodoma ninauza vitambaa vya kufuma kwa bei poa jumla na rejareja..
N.B Natengeneza mwenyewe hivyo tukiongea unaweza kuletewa kwa bei poa kulingana na makubaliano pia unaweza kuweka order ya aina ya vitambaa unavyohitaji na tukakufikishia popote ulipo Tupo Dodoma Mijini.
Pamba nyumba yako sasa ionekane poa..! Kwa mwonekano unaovutia kwa vitambaa saafi vyenye mvuto vya kufumwa!
Mkuu kwa anaehitaji atatumiwa sample maana vitambaa vinatoka kwa order kulingana na matakwa ya mtejaWeka picha kuvutia wateja! Hizi biashara za hisia nowdays hatufanyi!
Hii inahusikaje hapa mkuu kila kitu kinasehem yake sasa hii link inahusiana nini na hili tangazo
Imetokea kwa bahati mbaya mkuuHii inahusikaje hapa mkuu kila kitu kinasehem yake sasa hii link inahusiana nini na hili tangazo
Hahaha kila jukwaa lina maada zake na si kila anaepost katika majukwaa ya udaku kuwa ndio tabia yake hapana hapa nilipo nina utimamu wangu na shughuli yangu maalumu inayoniingizia kipato kizuri tu na sjawahi kunywa pombe wala kushiriki katika dhambi za rejareja MkuuuImetokea kwa bahati mbaya mkuu
Hahaha kila jukwaa lina maada zake na si kila anaepost katika majukwaa ya udaku kuwa ndio tabia yake hapana hapa nilipo nina utimamu wangu na shughuli yangu maalumu inayoniingizia kipato kizuri tu na sjawahi kunywa pombe wala kushiriki katika dhambi za rejareja Mkuuu
Ukihitaji lazima utatumia hata sample na syo picha tena mkuu kikubwa apatikane mnunuzi maana huwezi kuuziwa bidhaa bila kuion picha hata kama huitaji huitaji tuPicha..?
Ungeshona hata kimoja kimoja kwa design tofauti watu tuone kazi yako! Sasa utatuma sample ngapi wakihitaji watu 10 kwa wakati mmoja!??Mkuu kwa anaehitaji atatumiwa sample maana vitambaa vinatoka kwa order kulingana na matakwa ya mteja
Fact mkuu ila mnunuzi anafahamika tu na hakuna kinachoshindikana katika makubaliano na inategemea mda natoa tangazo nipo katik mazingira gani ila nitatuma tuUngeshona hata kimoja kimoja kwa design tofauti watu tuone kazi yako! Sasa utatuma sample ngapi wakihitaji watu 10 kwa wakati mmoja!??