Natafta Mnunuzi wa vitambaa vya kufuma kwa bei poa

incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
2,224
3,491
Nipo Dodoma ninauza vitambaa vya kufuma kwa bei poa jumla na rejareja..

N.B Natengeneza mwenyewe hivyo tukiongea unaweza kuletewa kwa bei poa kulingana na makubaliano pia unaweza kuweka order ya aina ya vitambaa unavyohitaji na tukakufikishia popote ulipo Tupo Dodoma Mijini.

Pamba nyumba yako sasa ionekane poa..! Kwa mwonekano unaovutia kwa vitambaa saafi vyenye mvuto vya kufumwa!
 
Taratibu rangi yako halisi inaanza kuonekana.

Nimerudishiwa hela yangu na Dada Poa!
 
Imetokea kwa bahati mbaya mkuu
Hahaha kila jukwaa lina maada zake na si kila anaepost katika majukwaa ya udaku kuwa ndio tabia yake hapana hapa nilipo nina utimamu wangu na shughuli yangu maalumu inayoniingizia kipato kizuri tu na sjawahi kunywa pombe wala kushiriki katika dhambi za rejareja Mkuuu
 
Mkuu kwa anaehitaji atatumiwa sample maana vitambaa vinatoka kwa order kulingana na matakwa ya mteja
Ungeshona hata kimoja kimoja kwa design tofauti watu tuone kazi yako! Sasa utatuma sample ngapi wakihitaji watu 10 kwa wakati mmoja!??
 
Fact mkuu ila mnunuzi anafahamika tu na hakuna kinachoshindikana katika makubaliano na inategemea mda natoa tangazo nipo katik mazingira gani ila nitatuma tu
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom