Onyo
Nikiwa kama moderator mwandamizi nipende kuwaambia wadada tumieni majina mazuri Fulani hivi ikishindikana mkataka mtumie majina yenu ya kilugha au ukoo wekeni hata Miss au cute something like that mnatuchanganya huku
Mimi nilijua mtoa Mada ni baharia Dotmag
Kumbe Miss dotmag ..bibie najua lazima utafungua I'd nyengine huo ushaur hapo juu fuata laasivo nitakupiga ban