G googleg Member Joined Mar 3, 2025 Posts 30 Reaction score 42 Jun 29, 2025 #1 Habari ndugu natafta kazi yoyote niko dodoma umri (25) kijana mawasiliano yangu 0777638200 Ntashukuru nikipata .niko tayar wakati wowote unaofaa
Habari ndugu natafta kazi yoyote niko dodoma umri (25) kijana mawasiliano yangu 0777638200 Ntashukuru nikipata .niko tayar wakati wowote unaofaa
Richard Kasubi Member Joined Sep 16, 2018 Posts 92 Reaction score 69 Jun 29, 2025 #2 googleg said: Habari ndugu natafta kazi yoyote niko dodoma umri (25) kijana mawasiliano yangu 0777638200 Ntashukuru nikipata .niko tayar wakati wowote unaofaa Click to expand... 1. Una uzoefu na kazi gani...? 2. Kiwango chako cha Elimu...!? 3. Unaweza kufanya kazi gani..!? Hakuna anaeweza kufanya kazi yoyote/ Kila kazi. Ahsante.
googleg said: Habari ndugu natafta kazi yoyote niko dodoma umri (25) kijana mawasiliano yangu 0777638200 Ntashukuru nikipata .niko tayar wakati wowote unaofaa Click to expand... 1. Una uzoefu na kazi gani...? 2. Kiwango chako cha Elimu...!? 3. Unaweza kufanya kazi gani..!? Hakuna anaeweza kufanya kazi yoyote/ Kila kazi. Ahsante.
G googleg Member Joined Mar 3, 2025 Posts 30 Reaction score 42 Jun 29, 2025 Thread starter #3 Richard Kasubi said: 1. Una uzoefu na kazi gani...? 2. Kiwango chako cha Elimu...!? 3. Unaweza kufanya kazi gani..!? Hakuna anaeweza kufanya kazi yoyote/ Kila kazi. Ahsante. Click to expand... Kuuza cosmetics Kidato cha sita Pia naweza na kazi za kusave
Richard Kasubi said: 1. Una uzoefu na kazi gani...? 2. Kiwango chako cha Elimu...!? 3. Unaweza kufanya kazi gani..!? Hakuna anaeweza kufanya kazi yoyote/ Kila kazi. Ahsante. Click to expand... Kuuza cosmetics Kidato cha sita Pia naweza na kazi za kusave
kipanga85 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2024 Posts 2,673 Reaction score 7,256 Jun 29, 2025 #4 omba ukarani kwenye uchaguzi
G googleg Member Joined Mar 3, 2025 Posts 30 Reaction score 42 Jun 29, 2025 Thread starter #5 kipanga85 said: omba ukarani kwenye uchaguzi Click to expand... Sawa
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,733 Reaction score 25,545 Jun 30, 2025 #6 Njoo tuvune alizeti hapa kibaigwa
Buttler Jo JF-Expert Member Joined May 26, 2025 Posts 900 Reaction score 804 Jun 30, 2025 #7 Kila la Kheri mkuu..
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,116 Reaction score 1,249,274 Jul 5, 2025 #8 All the Best
T Thingis JF-Expert Member Joined Oct 18, 2022 Posts 3,888 Reaction score 5,983 Jul 5, 2025 #9 kipanga85 said: omba ukarani kwenye uchaguzi Click to expand... Zinapatikanaje hizi ukarani na elimu Gani kuanzia
kipanga85 said: omba ukarani kwenye uchaguzi Click to expand... Zinapatikanaje hizi ukarani na elimu Gani kuanzia