NATAFITI soko la PS4 na XBOX1

CYBERTEQ

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
7,341
Reaction score
4,076
Nna access na hizo consoles, brand new, brand new ps4, 500gb, 4 game pads. Brand new XBox1 500gb, with 1 controller, no kinect. Naweza kuzipata mpaka Bongo kwa 500K, zinauzika bei gani hapa Bongo? Mahitaji yapo?
 
Hizi mkubwa zinauzka saana ila kwa bei hiyo utapata wachache, weka tangazo lako vizuri afu lipost wakati wa asubuhi, kufkia jion utakuwa una majibu ya maswali yako.
 
Hizi mkubwa zinauzka saana ila kwa bei hiyo utapata wachache, weka tangazo lako vizuri afu lipost wakati wa asubuhi, kufkia jion utakuwa una majibu ya maswali yako.

Nashukuru Mkuu, zinauzika kwa bei gani mkuu?
 
inategemea na ukubwa na aina pia, bei kuanzia 250 hadi 450,

Playstation 4 mpya, 500Gb, ebay zinaretail kuanzia $500 halafu bongo ziuzwe 450 ni bora nisilete zitanikata, mimi naweza kuzinunua kwa laki tano mpaka dar, ingekuwa zinauzika kuanzia laki 6 sawa, lakini I would expect madukani hapa kwetu ziuzwe zaidi ya laki nane. Dah, poa kaka nashukuru kwa kunipa mwanga ngoja nisitishe huu mchakato.
 
kaka ebu leta izo makitu huyu unayeongea naye hajui chochote, bei zake ata ps3 hupati, ps4 siyo chini ya milioni kwa sasa apa bongo. ni p.m tuongee biashara
 
kaka ebu leta izo makitu huyu unayeongea naye hajui chochote, bei zake ata ps3 hupati, ps4 siyo chini ya milioni kwa sasa apa bongo. ni p.m tuongee biashara

Hayo ndiyo maneno sasa, tutakutana PM muda si mrefu.
 
Hayo ndiyo maneno sasa, tutakutana PM muda si mrefu.

Angalia usije ukaingizwa king tu! Me ninazo xbox 360 with kinetic na ps3 nauza kwa 400,000 mpaka dakika hii sijapata mteja! Kama vipi wakupe deposit kabisa to be on the safe side

Sent from my iPhone 5c using JamiiForums
 
kama hizo ps3 ni mpya ni p.m
 
Zimetumika for few days, but condition ni very good! Pia ps3 ina mpaka headset nakupa for free, zote ni imported from UK

Sent from my iPhone 5c using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…