Wanajamvi habarini za wikiendi? Natafuta mashine ya kutengeneza popcon iliyo katika hali nzuri na bei isiwe ya kutisha kama za madukani ambayo inaanzia 450,000 - 500,000. Naona nijiajiri mapema maana huu msala wa vyeti feki ni janga la Taifa.
Mwenye nayo ani PM please
Serious