M mageuzi1992 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2010 Posts 2,502 Reaction score 257 Jun 4, 2013 #1 Kutokana na rasimu mpya ya katiba kuruhusu mgombea binafsi......natabiri kuwa miongoni mwa wanamakundi ndani ya chao tawala atagombea kama binafsi!!! Ni utabiri tu mipovu isikutoke....
Kutokana na rasimu mpya ya katiba kuruhusu mgombea binafsi......natabiri kuwa miongoni mwa wanamakundi ndani ya chao tawala atagombea kama binafsi!!! Ni utabiri tu mipovu isikutoke....
Mulangila Mukuru JF-Expert Member Joined Feb 24, 2010 Posts 1,945 Reaction score 729 Jun 4, 2013 #2 Hii haiitaji utabiri kama katiba itaruhusu watakuwepo wengi lakini nadhani kwa kuwa mabaraza yalishodhiwa na wenzetu tutegemee mambo mengi kupingwa.
Hii haiitaji utabiri kama katiba itaruhusu watakuwepo wengi lakini nadhani kwa kuwa mabaraza yalishodhiwa na wenzetu tutegemee mambo mengi kupingwa.
M Mkumba Vana JF-Expert Member Joined May 10, 2013 Posts 416 Reaction score 124 Jun 4, 2013 #3 Hapa hakuna utabiri, ni jambo lililo bayana ukizingatia CCM wenyewe waliridhia jambo hili liingie katika katiba mpya ili wao wakikosa na sisi tukose
Hapa hakuna utabiri, ni jambo lililo bayana ukizingatia CCM wenyewe waliridhia jambo hili liingie katika katiba mpya ili wao wakikosa na sisi tukose
K kinauche JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 7,681 Reaction score 2,219 Jun 4, 2013 #4 Huu siyo utabiri. Mtabiri shehe Yahaya alishakufa. Hili ni jambo lililo obvious. Kwani ulitegemea something diffrent? Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Huu siyo utabiri. Mtabiri shehe Yahaya alishakufa. Hili ni jambo lililo obvious. Kwani ulitegemea something diffrent? Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums