Natabiri leo Bronze Bomber(Deontay Wilder) atapoteza pambano kwa mara ya kwanza .

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,415
21,111
Nina wasiwasi sana na aina ya upiganaji anayotumia mwanamasumbwi Deontay Wilder ,sidhani kama ataendeleza rekodi yake kwa kipindi kirefu.

Leo kwenye mechi yake dhidi ya Bermaine Stiverne nina wasiwasi kabisa ataenda kupoteza pambano

Wilder ana rekodi ya kupambana mapambano 38,ameshinda 37,kwa K.O moja ameshinda kwa uninomous decision na hilo aliloshinda kwa UD alipambana na huyuhuyu Stiverne.

Kwa upande wa Stiverne yeye amepambana mapambano 28,ameshinda 25 ,21 kwa KO ametoa sare pambano moja na amepigwa mapambano mawili .

Sasa je Wilder ataendeleza ubabe kwa Stiverne au Stiberne atalipa kisasi????

Majibu ya kitendawili hiki yatapatikana usiku wa leo kwenye uwanja wa Barclays Center New York Marekani.

Screenshot_2017-11-04-14-13-19.jpg

Nasimama upande wa Wilder ,ingawaje sina imani sana na pambano lake la leo.
 
Sio rahisi ukitegemea na pambano hili wilder analitengemea sana na litaleta hamasa kuweza kupata pambano na antony joshua mwakani, steverine anaenda kwnye pambano akiwa na uzito mkubwa sana, na brozebomber ni bondia mwenye kasi endapo uzito huu utakua changamoto kwake wilder anaeza shinda kwa k.o this time mapema
 
Ngoja tuone leo
 
Huu ugomvi utaonyeshwa channel gani
Mkuu?
Supersports,skysports boxing,box nation au unawez stream live kwa mobdro au youtube bt sina uhakika sana na youtube sabb huwa wana shut down chanel znazo stream saa 12 asbh mkuu
 
Nina wasiwasi sana na aina ya upiganaji anayotumia mwanamasumbwi Deontay Wilder ,sidhani kama ataendeleza rekodi yake kwa kipindi kirefu.

Leo kwenye mechi yake dhidi ya Bermaine Stiverne nina wasiwasi kabisa ataenda kupoteza pambano

Wilder ana rekodi ya kupambana mapambano 38,ameshinda 37,kwa K.O moja ameshinda kwa uninomous decision na hilo aliloshinda kwa UD alipambana na huyuhuyu Stiverne.

Kwa upande wa Stiverne yeye amepambana mapambano 28,ameshinda 25 ,21 kwa KO ametoa sare pambano moja na amepigwa mapambano mawili .

Sasa je Wilder ataendeleza ubabe kwa Stiverne au Stiberne atalipa kisasi????

Majibu ya kitendawili hiki yatapatikana usiku wa leo kwenye uwanja wa Barclays Center New York Marekani.

View attachment 623921
Nasimama upande wa Wilder ,ingawaje sina imani sana na pambano lake la leo.
Uzito gani, heavy weight au
 
Mtu kalazwa chini mara 3 round ya kwanza.

Wilder ni shida.
 
Nina wasiwasi sana na aina ya upiganaji anayotumia mwanamasumbwi Deontay Wilder ,sidhani kama ataendeleza rekodi yake kwa kipindi kirefu.

Leo kwenye mechi yake dhidi ya Bermaine Stiverne nina wasiwasi kabisa ataenda kupoteza pambano

Wilder ana rekodi ya kupambana mapambano 38,ameshinda 37,kwa K.O moja ameshinda kwa uninomous decision na hilo aliloshinda kwa UD alipambana na huyuhuyu Stiverne.

Kwa upande wa Stiverne yeye amepambana mapambano 28,ameshinda 25 ,21 kwa KO ametoa sare pambano moja na amepigwa mapambano mawili .

Sasa je Wilder ataendeleza ubabe kwa Stiverne au Stiberne atalipa kisasi????

Majibu ya kitendawili hiki yatapatikana usiku wa leo kwenye uwanja wa Barclays Center New York Marekani.

View attachment 623921
Nasimama upande wa Wilder ,ingawaje sina imani sana na pambano lake la leo.
Hahahahhahaaaha nadhan umeona mambo ya huyu mnyama sio mtu kbsa
 
Huu mchezo una fedha nyingi ila shughuli kuzipata mbaya zaidi hauna kutegea kama football mpo kumi na moja ila hapo penye ulingo utamtegea nani?
 
Kama kawa.. nadhan wilder atakaza sana apate kushinda nia yake ni AJ.. nasubiri kwa hamu hili pambano la wilder na anthony joshua litokee..
 
Yep, he has called Out AJ. Ngoja tuone kama AJ atajibu.

"Anthony Joshua I declare war upon you. Do you accept my challenge? I've been waiting for a long time, I know I'm the champion, I know I'm the best. Are you up for the test?' no more dodging, no more excuses … make the date, don't wait.
'I'm too athletic. I told y'all I'm mobile, I'm hostile, I am the king baby and no heavyweight can compare to me".

Deontay Wilder 'declares war' on Anthony Joshua after win | Daily Mail Online
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom