Natabiri CHADEMA lazima isambaratike...

Najuwa mpaka 2020 Oct utanielewa.

Hakuna lolote, usishangae hiyo ccm yako ndio yaweza kupasuka.

Watu wote dunia hupenda
Haki
Kweli
Umoja

Sifa hizi zipo ndani ya mioyo ya watanzania elewa wewe.
 
Siasa ajira
 
Kama kuna mtu yoyote anamuona mleta mada yupo negative basi huenda yeye ndo akawa ni wa hovyo. Mleta mada nimependa alipofafanua kuhusu MBOWE na LISSU.

LISSU ni kiongozi haswa ktk suala zima la Upinzani na ni mtu ambaye anaweza kujenga chama. MBOWE ni mtu wa kifedha na kifamilia, hii maana yake kwa sasa Chama hakiwezi kujengwa na mtu mwenye fikra za Mbowe.

Kumbuka kipindi cha nyuma waliosaidia saana kujenga hiki chama ni akina Slaa, Lissu, Kabwe n.k ila Mbowe aliplay part ndogo na aliweza kuonekana sababu yeye ni Mwenyekiti ila akili ya uendeshwaji chama kwa maslahi ya wanyonge haipo.

Slaa kaondoka, mpaka sasa pengo lipo. Kabwe kaondoka walau kuna watu wakajitahidi kuziba lakini kwa kutetea hoja bado nafasi ya Kabwe haijazibwa. Amepigwa Lissu risasi, upinzani ukafa totally, wenye jicho la tatu wameona hili.

Watu mmemponda saana mleta mada, hii ni jinsi gani JF imekosa watu makini siku hizi, naomba niwakumbushe pia, wakati LOWASSA anaingia CHADEMA kuna watu walianzisha Thread humu ndani wakipinga uamuzi huu wa CHADEMA na wakasema tumecheza karata mbovu, mwenye ule uzi anaweza akauweka humu afufue.

Naungana na Mleta Mada, hakuna wakati ambao CHADEMA itapoteza viti vingi kama Uchaguzi huu 2020. Walau angekuwepo LISSU mzima mpaka leo angeweza kuonesha moyo wa kupambana na chama dola ila angalia leo hii hakuna tena mwenye guts za kupambana na CCM kama LISSU.
 
Siamini kama ulifika chuo kwa akili zako ili kujichunguza rudia mitihani yako yote tangu ukiwa darasa la saba mpaka chuo ukipata jibu utakuwa umeelewa uwezo wako
 
Hao ndio Wadanganyika mkuu ambao hawawezi ona, wao wanajifurahisha tu.. Mimi huwa najiuliza siku zote kama CHADEMA imekufa nguvu nyingi zinazotumika kuwazuia kufanya mikutano, matusi ya subwoofer, kuwatumia vibaya polisi katika kuwazuia hawa ni vya nini..
 

Naona ulioteshwa na mizimu....!!!
 
Mbatia bahati haiji Mara mbili kula hela za ccm hizo ni Kodi zetu.Anaewaza atauwa upinzani kwa kuanzisha upinzani anaukimbiza upepo.
Badala ya kupambana kuuwa umasikini unapambana kuuwa upinzani then lawama anatupiwa beberu eti Vita vya kiuchumi
 
Naomba huu uzi kila mmoja asubscribe mpaka pale tutakapopata majibu november.

Chadema tumejitoa ufahamu ila ni ukweli mchungu kuwa hakuna wakati tutakuja kuanguka ktk uchaguzi kama mwaka 2020.

Chama hakina tena muelekeo kama zamani.
 
Ukiona umma ushaanza kuwaona ni wabadhilifu wa fedha na wanyanyasaji wa ngono,wanajiteka nk, bc jua ndio wamekwisha hao.
 
Uliongea kwa hisia ila leo sijuwi kama upo au umeshajipiga risasi.. Chadema chali.
 
Wasira alitabiri ujinga kama huu! Akaukosa Ubunge!

Mtabiri Sheikh yahya naye alitabiri, Mwishowe akatangulia mbele ya haki!
Mungu ameniweka hai mpaka leo tangu 13/03/2016. Leo 2020 nadhani huwamini. Jiulize nilijuwaje while sipo ndani ya ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…