Natabiri CHADEMA lazima isambaratike...

Ukianza kupiga ramli muda di mrefu utakua mchawi,pole yako
 
wapiga ramli ni chanzo cha mauaji ya maalibino mtabiri mumeo chumban lin utashika mimba tu
 
Haya tuma salamu
 
Watabiri wa ccm mnachosha sana, haaa taja mwaka na wewe lini kitakufa? Mzee wasira anawaangalia tu wwafuasi wake na kuwahurumia.
 
Watu walio ktk mapango huiona miisho ya nchi walipo ni kuta za mapango. Mimi nipo nje ya pango la chadema na uongo wake, namshukuru Mungu sikufukuzwa chuo wakati chadema wakitutumia kuleta machafuko vyuoni. Nimeujuwa ukweli nipo tayari kusimama kulitetea taifa langu nje ya chadema na sio mim tu, mtu kama tundu Lissu, mnyika, bulaya, mdee hivi sasa ni kama makopo ndani ya chama, watake wasitake wamezungukwa na nyoka mkali ambaye wao wamemchukua kuwa nyoka wa maonyesho ktk mikutano yao wakifikiri eti nyoka huyo hatoota meno awadhuru. Ila niaminin mimi huyo nyoka atakuwa na meno ucku mmoja nakuwagonga wote walio mtesa. Chadema niliza isambaratike au mbowe na Lowasa wakae pembeni. Take from me a man from another planet.
 
Watabiri wa ccm mnachosha sana, haaa taja mwaka na wewe lini kitakufa? Mzee wasira anawaangalia tu wwafuasi wake na kuwahurumia.
Ha ha ha.. Anakumbuka utabiri wake kwamba Cdm ingekufa 2013.. Matokeo yake Cdm imemuua yeye kisiasa.. Anajuuuuta kutoa utabiri ule..
 
Ha ha ha.. Anakumbuka utabiri wake kwamba Cdm ingekufa 2013.. Matokeo yake Cdm imemuua yeye kisiasa.. Anajuuuuta kutoa utabiri ule..
Mkuu na alietumika kumuua ni binti mdogo sawa na kitukuu chake aibu hii hana hamu na chadema. Kakimbilia mahakamani nako binti kamgaragaza babu, amevurugwa vibaya sana, msamiati wa kifo hauelewi.
 

Huyu naye alitabiri kama wewe ila ameishia kuchunga mbuzi. Tena kwa sababu anao. Jee wewe kijana mdogo utaishia wapi?
 
Kabla ya chadema kusambaratika utaanza ww mpiga domo mitandaoni. Ivi wanachama wa ccm ndo wenye ekima na busara sanae????! To a basi boriti kwenye jicho lako kwanza...
 
Chadema ndio waendesha migomo wakubwa vyuoni tena msitake kuleta pua tutawataja wote pambavu.
Sasa kama umeweza kuwataja chadema kwann usi ainishe na hao waanzisha migomo!!??? Nass tuwajue.. Au mihemko ya chuki imekujaa. Ivi uwezi kukata kiuno mpaka uwataje chadema
 
Sawa mtabiri naamini hata siku yako ya kufa utaitabiri
 
Kweli mmekuwa wapiga ramli hebu tabiri lini Tanzania itakuwa kama Dubai alivyotuambia Mh.Magufuli maana tunaona in kufukuzana tu kila kukicha
 

Kumbe ni utabiri mi nilidhani utafiti, mbona kuna watabiri wengi tu waliotangulia kabla yako.
 

Nimependa kiapo chako . Gladiator never surrender.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…