pweza mtabiri kombe la dunia 2010 pale south africa alichemka vibaya sna ktk utabir wake naona ushaanza kuwa pweza mtabir muda si mrefu utapondwa na mawe had kufa kama pweza mtabur kwa kuchemkaNdugu wa Tanzania, mim nilie kuwa mwanachama wa chadema tangu nikiwa chuo na mpaka pale chadema ilipo badilika kuwa chama cha wapiga deals. Nimeona nitabiri yakuwa chama hiki kimekosa dira na ushawish kwa vijana na hata wazee. Nimtu mjinga anaweza kufikiri eti chama bora tanzania tena cha upinzani ni chadema. Mim nasema hakuna kitu kama hicho. Labda niwakumbushe yakuwa Mh Lowasa alipo ingia chadema ali ingia kwa ajenda ya siri tena siri kubwa sana. Mchezo wa siasa ni mchezo wa hatari na wana ccm wanaujuwa kuliko mtu awaye yeyote ktk vyama vya upinzani na ndio maana cc tulio bahatika kujuwa haya tunasema chadema inaenda kumeguka kama sii vipande vitatu basi viwili. Mfano mzuri ni team Lissu ndan ya hiki chama na team Mbowe. Uzuri nikwamba mbowe ni kijana mdogo tangu darasani mpaka kwenye siasa hawez kumfikia Lissu. Nguvu ya Mbowe ni uchama ulio jikita ktk pesa na famil histor. Hiki sio chama cha watu ni chama cha mtu ndani ya Watu, nahili nijambo la hatari limekuja kujulikana. Mh Lowasa hana mapenz yoyote ya hiki chama ila nataka kuwahakikishia huyu mzee angetaman kuona hiki chama ambacho kilitumika kumchafuwa taifa lote siku moja kinakuwa either chama chake au anakigawa kuwa vipande wote wakose. Nahii ndio siri nzito inaendelea. Usione thread zimeandikwa eti ccm wamepagawa kwa uteuz wa Vicent kuwa katibu mkuu. Huo ni uongo mkubwa nikinyume chake maana ccm ni majemendari wasiasa na wanajuwa mahal pakushika kwa kila chama. Kwa kumalizia chadema lazima isambaratike bila shaka ktk wakat ambao mim na wewe hatuto amini.
wewe shangazi yako bibi yako wewe na ukoo wako wa panya ndio mtasambalatika mtaiacha chadema ikizi kushamili.Ndugu wa Tanzania, mim nilie kuwa mwanachama wa chadema tangu nikiwa chuo na mpaka pale chadema ilipo badilika kuwa chama cha wapiga deals. Nimeona nitabiri yakuwa chama hiki kimekosa dira na ushawish kwa vijana na hata wazee. Nimtu mjinga anaweza kufikiri eti chama bora tanzania tena cha upinzani ni chadema. Mim nasema hakuna kitu kama hicho. Labda niwakumbushe yakuwa Mh Lowasa alipo ingia chadema ali ingia kwa ajenda ya siri tena siri kubwa sana. Mchezo wa siasa ni mchezo wa hatari na wana ccm wanaujuwa kuliko mtu awaye yeyote ktk vyama vya upinzani na ndio maana cc tulio bahatika kujuwa haya tunasema chadema inaenda kumeguka kama sii vipande vitatu basi viwili. Mfano mzuri ni team Lissu ndan ya hiki chama na team Mbowe. Uzuri nikwamba mbowe ni kijana mdogo tangu darasani mpaka kwenye siasa hawez kumfikia Lissu. Nguvu ya Mbowe ni uchama ulio jikita ktk pesa na famil histor. Hiki sio chama cha watu ni chama cha mtu ndani ya Watu, nahili nijambo la hatari limekuja kujulikana. Mh Lowasa hana mapenz yoyote ya hiki chama ila nataka kuwahakikishia huyu mzee angetaman kuona hiki chama ambacho kilitumika kumchafuwa taifa lote siku moja kinakuwa either chama chake au anakigawa kuwa vipande wote wakose. Nahii ndio siri nzito inaendelea. Usione thread zimeandikwa eti ccm wamepagawa kwa uteuz wa Vicent kuwa katibu mkuu. Huo ni uongo mkubwa nikinyume chake maana ccm ni majemendari wasiasa na wanajuwa mahal pakushika kwa kila chama. Kwa kumalizia chadema lazima isambaratike bila shaka ktk wakat ambao mim na wewe hatuto amini.
Mkuu umesema ukweli mtupu hawa jamaa wanakwenda samabaratika vibaya sana tena hawataamini yatakayo wakuta.Ndugu wa Tanzania, mim nilie kuwa mwanachama wa chadema tangu nikiwa chuo na mpaka pale chadema ilipo badilika kuwa chama cha wapiga deals. Nimeona nitabiri yakuwa chama hiki kimekosa dira na ushawish kwa vijana na hata wazee. Nimtu mjinga anaweza kufikiri eti chama bora tanzania tena cha upinzani ni chadema. Mim nasema hakuna kitu kama hicho. Labda niwakumbushe yakuwa Mh Lowasa alipo ingia chadema ali ingia kwa ajenda ya siri tena siri kubwa sana. Mchezo wa siasa ni mchezo wa hatari na wana ccm wanaujuwa kuliko mtu awaye yeyote ktk vyama vya upinzani na ndio maana cc tulio bahatika kujuwa haya tunasema chadema inaenda kumeguka kama sii vipande vitatu basi viwili. Mfano mzuri ni team Lissu ndan ya hiki chama na team Mbowe. Uzuri nikwamba mbowe ni kijana mdogo tangu darasani mpaka kwenye siasa hawez kumfikia Lissu. Nguvu ya Mbowe ni uchama ulio jikita ktk pesa na famil histor. Hiki sio chama cha watu ni chama cha mtu ndani ya Watu, nahili nijambo la hatari limekuja kujulikana. Mh Lowasa hana mapenz yoyote ya hiki chama ila nataka kuwahakikishia huyu mzee angetaman kuona hiki chama ambacho kilitumika kumchafuwa taifa lote siku moja kinakuwa either chama chake au anakigawa kuwa vipande wote wakose. Nahii ndio siri nzito inaendelea. Usione thread zimeandikwa eti ccm wamepagawa kwa uteuz wa Vicent kuwa katibu mkuu. Huo ni uongo mkubwa nikinyume chake maana ccm ni majemendari wasiasa na wanajuwa mahal pakushika kwa kila chama. Kwa kumalizia chadema lazima isambaratike bila shaka ktk wakat ambao mim na wewe hatuto amini.
Chadema hakitasambaratika ila watu kama wewe mnaotumiwa na CCM ndiyo mtasambaratikaNdugu wa Tanzania, mim nilie kuwa mwanachama wa chadema tangu nikiwa chuo na mpaka pale chadema ilipo badilika kuwa chama cha wapiga deals. Nimeona nitabiri yakuwa chama hiki kimekosa dira na ushawish kwa vijana na hata wazee. Nimtu mjinga anaweza kufikiri eti chama bora tanzania tena cha upinzani ni chadema. Mim nasema hakuna kitu kama hicho. Labda niwakumbushe yakuwa Mh Lowasa alipo ingia chadema ali ingia kwa ajenda ya siri tena siri kubwa sana. Mchezo wa siasa ni mchezo wa hatari na wana ccm wanaujuwa kuliko mtu awaye yeyote ktk vyama vya upinzani na ndio maana cc tulio bahatika kujuwa haya tunasema chadema inaenda kumeguka kama sii vipande vitatu basi viwili. Mfano mzuri ni team Lissu ndan ya hiki chama na team Mbowe. Uzuri nikwamba mbowe ni kijana mdogo tangu darasani mpaka kwenye siasa hawez kumfikia Lissu. Nguvu ya Mbowe ni uchama ulio jikita ktk pesa na famil histor. Hiki sio chama cha watu ni chama cha mtu ndani ya Watu, nahili nijambo la hatari limekuja kujulikana. Mh Lowasa hana mapenz yoyote ya hiki chama ila nataka kuwahakikishia huyu mzee angetaman kuona hiki chama ambacho kilitumika kumchafuwa taifa lote siku moja kinakuwa either chama chake au anakigawa kuwa vipande wote wakose. Nahii ndio siri nzito inaendelea. Usione thread zimeandikwa eti ccm wamepagawa kwa uteuz wa Vicent kuwa katibu mkuu. Huo ni uongo mkubwa nikinyume chake maana ccm ni majemendari wasiasa na wanajuwa mahal pakushika kwa kila chama. Kwa kumalizia chadema lazima isambaratike bila shaka ktk wakat ambao mim na wewe hatuto amini.