Natabiri Bashiru kuwa Waziri Mkuu

Atakuwa waziri mkuu wa wapi?
Waziri mkuu wa Daruso?

Kwa Bashiru hiyo ndio imekwisha sasa, hakuna tena nafasi ya kuibuka. Kama ni bahati, bahati yake ilishapita. Kwa sasa ajipange kugonga meza za bungeni tu.
 
Haiwezekani wewe Kilaza, Hakidhi vigezo vya katiba, labda kama wataamua kutozingatia katiba kama jiwe katika teuzi zake.
Punguani mkubwa huna akili wewe,haiwezekani haya maisha ni ya baba yako?imewezekana wewe kuzaliwa itashindikanaje kwenye maisha ya watu wengine?
 
WAZIRI MKUU KIKATIBA LAZIME AWE MBUNGE WA KUCHAGULIWA JIMBONI (CONSTITUENCY). NA WALA HATATOKANA NA MBUNGE WA KUTEILIWA.
 
Kama katiba ingekuwa inafuatwa hayati asingekuwa anaamua kutoka kichwani mwake hata wale wabunge 19 wasingekanyaga bungeni. Hayati kavunja katiba na bado akatuendesha kwa miaka 5+
 
Waziri mkuu anapatikana miongoni mwa wabunge waliochaguliwa kutoka majimboni. Japo wanaombeza naona kama akili zao ni ndogo. Kwangu mimi inawezekana kabisa Bashiru kwa misimamo yake ninavyomjua anaweza kjwa aliresign mwenyewe na si kufukuzwa ma mtu.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Endelea kutabiri ujinga.
Kuna siku utatabiri umetangulia.......
 
Ngoja tusubiri Jumanne mkuu kama mama alivyoahidi'',In Africa Wonders Shall Never End!''
 
Waziri mkuu wa nchi ngan mkuu? [emoji23][emoji23]
 
Mkuu waziri mkuu lazima awe mbunge wa jimbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…