Natabiri Bashiru kuwa Waziri Mkuu

Ndo huyu huyu mnaomsema aliiba pese za matibabu ya magufuli, au ni mwingine!
 
Waziri mkuu? Bashiru yupi? Huyu huyu Kakurwa? MUNGU ampe mama Samia maisha marefu, Hii ndiyo dawa ya mnafiki haiwezekani mtu anatangaza public kabisa kuwa hatokubali uteuzi wa position nyingine yoyote serikalini alafu anapewa Cs. Mimi naona hata huu ubunge wa kuteuliwa bado ni kukiuka tamko lake atafutiwe taarafa iliyopo wazi apewe angalau ukatibu hapo at least.
 
Kasome katiba, waziri mkuu lazima awe mbunge kutokana na jimbo sasa huyo Bashiru ni mbunge wa Jimbo gani?
 
Kwann wanasiasa wa bongo wanafiki sana!! Alisema hatokubali uteuzi wowote baada ya ukatibu mkuu ccm Leo anateuliwa teuliwa mara huku mara kule na hakatai duh kweli cheo ulevi!

Uwaziri mkuu hauwezi namaujamaa yake atatulaza njaa.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Bashiru ni mbunge wa jimbo gani hadi awe waziri mkuu?
 
Labda waziri mkuu wa Lumumba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…