Natabiri anguko la CCM Octoba 25/2020


Kizazi hiki cha giza na upofu nilikibaini tangu 2015- kama wewe ndiyo aina watanzania tulionao basi nchi hii itakuwa inaongoza duniani kwa kuwa na watu wenye uelewa zero brains. Nakukumbusha kidogo kuwa ‘Kachero yuko kazini” hadi kieleweke. Yajayo yanafurahisha.
 
Utabiri wako unaelekea kuwa kweli....
 
Kama.
Mgombea atakuwa Membe tukutane kwenye vilio 2021
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…