Nasumbuliwa Tumbo, Msaada tafadhari!

kipoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2012
Messages
258
Points
225

kipoma

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2012
258 225
Ndg wanajf naombeni ushauri juu ya tatizo langu, nimekuwa na mpaka sasa nasumbuliwa na tumbo yaani linauma kama tumboni kuna moto unaotoa uvuguvugu , naombeni msaada wenu.
 
Asclepius

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Messages
698
Points
1,000

Asclepius

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2017
698 1,000
Mkuu ulcers ni ugonjwa gani? Naomba nifafanulie.
Vidonda vya tumbo mara nyingi ndo mtu hua anapata maumivu kama ya kuwaka moto
Jaribu kuacha kula vyakula vyenye asidi kama maharage na pia kula mara kwa mara usikae masaa mawili au matatu hujatia kitu tumboni pia maziwa fresh yanasaidia kidogo kupunguza maumivu
 
kipoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2012
Messages
258
Points
225

kipoma

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2012
258 225
Vidonda vya tumbo mara nyingi ndo mtu hua anapata maumivu kama ya kuwaka moto
Jaribu kuacha kula vyakula vyenye asidi kama maharage na pia kula mara kwa mara usikae masaa mawili au matatu hujatia kitu tumboni pia maziwa fresh yanasaidia kidogo kupunguza maumivu
Asante mkuu
 
Forum statistics

Threads 1,363,972
Members 520,595
Posts 33,303,036
Top