Nasumbuliwa Tumbo, Msaada tafadhari!

kipoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2012
325
169
Ndg wanajf naombeni ushauri juu ya tatizo langu, nimekuwa na mpaka sasa nasumbuliwa na tumbo yaani linauma kama tumboni kuna moto unaotoa uvuguvugu.

Naombeni msaada wenu.
 
Mkuu ulcers ni ugonjwa gani? Naomba nifafanulie.

Vidonda vya tumbo mara nyingi ndo mtu hua anapata maumivu kama ya kuwaka moto.

Jaribu kuacha kula vyakula vyenye asidi kama maharage na pia kula mara kwa mara usikae masaa mawili au matatu hujatia kitu tumboni pia maziwa fresh yanasaidia kidogo kupunguza maumivu.
 
Vidonda vya tumbo mara nyingi ndo mtu hua anapata maumivu kama ya kuwaka moto
Jaribu kuacha kula vyakula vyenye asidi kama maharage na pia kula mara kwa mara usikae masaa mawili au matatu hujatia kitu tumboni pia maziwa fresh yanasaidia kidogo kupunguza maumivu

Asante mkuu
 
Back
Top Bottom