Nasumbuliwa na tumbo

suluta

Senior Member
Dec 22, 2016
115
40
Habar za jioni jamani!

Mimi nasumbuliwa sana na tumbo, nikila chakula utadhani nimekula kokoto ( tumbo lina choma) halaf nasweat sana ( natokwa na jasho sana), mwili kukisa nguvu wakat mwingine, viungo vinalegea, na tumbo kuwaka moto sana adubuhi, pia naskia kichef chef nikila vitu vya mafuta kama chapat, maanda e.tc. nimetumia dawa za vidonda vya tumbo aina zite.

Za kienyeji pia ninetumia sana lakini bila mafanikio. Kuna doctor alinambia inaweza kuwa ni minyoo aina ya ASKARIS. Limentesa muda sana tangu nipo sekondari mwaka 2007.

Naomba nsaada kwa anayefahamu.
 
Pole sana kwa tatizo lako, ni vizuri uende hospitali kwa uchunguzi zaidi wa vipimo, ili kubaini ni tatizo gani linalokusumbua ili uweze kutumia dawa zenye kulingana na tatizo linalokusumbua.
 
Tangu 2007 dahh! pole sana mkuu, usiendelee kuchelewa, wahi hospitali upime na upate tiba haraka.
Kuna magonjwa mengi katika tumbo pima upate uhakika then anza tiba.
Wahi tafadhali...
 
Back
Top Bottom