Nasumbuliwa na tatizo la sinusitis

Tmlekwa

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
257
236
Heshima kwenu...

Jaman nasumbuliwa na tatizo la sinusitis anaejua tiba plz nimeshatumia lundo la madawa lkn wapi. Msaada kwa anaejua
 
SINUS INFECTION.jpg

Mkuu pole kwa maradhi yako ya Sinusitis Sinusitis, also known as rhinosinusitis, is inflammation of the mucous membranes that line the sinuses resulting in symptoms that may include thick nasal mucus, a plugged nose, and facial pain. Other signs and symptoms may include fever, headaches, a poor sense of smell, sore throat, and a cough.
Jaribu kuwa unakula Punje 2 za Kitunguu Saumu kila siku asubuhi kabla ya kula kitu tafuna hizo punje 2 za kitunguu Saumu kisha umeze na maji ya uvuguvugu fanya hivyo asubuhi kabla ya kula kitu na mchana na usiku kwa muda wa siku 7 hujapona nione mimi nipate kukutibia maradhi yako ili uweze kupona. Kwa Dawa za Hospitali huwezi kupona kabisa hayo maradhi ni maradhi sugu yasiyo sikia dawa
za Hospitali Uguwa pole.
 
View attachment 1676553

Asante sana nashukuru tafanya hivyo
 
Back
Top Bottom