Nasumbuliwa na tatizo la magoti kuuma

ngabobo

Member
Dec 23, 2016
75
47
Nasumbuliwa na tatizo la magoti kuuma.Kwenye kiungio joints.Tatizo hili linaninyima raha kwani nimetumia dawa mbalimbali Ila yanapoa kama wiki moja,maumivu yanarudi tena.Kwa mwenye kujua naomba anishauri.
 
Ahsante Mkuu.Nakunywaga sana supu.Bamia ndio sili sana.Nitajitahidi niongeze speed....
 
Tafuta wauzaji wa products za forever living wanaweza kuwa msaada pia
 
Back
Top Bottom