Nasumbuliwa na maumivu ya meno mara kwa Mara

Broxine

Member
Dec 23, 2016
28
12
Ni takriban mwaka wa tatu nikiwa na nasumbuliwa na tatizo la meno kutoboka hvyo kupelekea kung'olewa jino lakini kwa miez sita nimekuwa nikiziba Ila tatizo linalonisumbua kila nikiziba meno baada ya miez mitatu kupita fizi zinavimba na ninapata maumivu makali. Naomba msaada wenu kwa ushauri niondokane na tatizo hili.
 
Jua namna ya kutunza meno yako.
Acha kubrush meno kwa dawa za viwandani, kama hizi colgate, whitedent, nk
Tumia mkaa au kitu kingine
Au unaweza tumia aloevera jelly mmea.
Usibrush meno kwa muda mrefu.
Punguza kubrush meno, tumia kidole kujisafisha hadi ukoko ukijaa ndo brush kwa kutumia vitu nlivyokuelekeza hapo juu.
Epuka kula vyakula vigumu, ambavyo vinafanya usage meno.
Epuka kula vitu vyenye acids kama sodas nk
Epuka vyakula vya bandia kama biscuits na pipi's.
Utapata nafuu.
 
Back
Top Bottom