Nasumbuliwa na Masikio kuvuma na kuziba

Nasumbuliwa na Masikio kuvuma na kuziba

devinyo1987

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
266
Reaction score
378
Habari wana JF

Nasumbuliwa na masikio kuvuma na kuziba naombeni msaada wenu kwa yeyote anayejua matibabu yake.

Maana naona masikio yangu yanapoteza usikivu
 
Kama uko Dar,Nenda Dar Group hospital,ipo hapo daraja ya mfugale ,kushoto ukivuka daraja ya mg kama unatokea ubungo.Historia yao kwenye matibabu ya masikio iko juu
 
Habari wana JF

Nasumbuliwa na masikio kuvuma na kuziba naombeni msaada wenu kwa yeyote anayejua matibabu yake.

Maana naona masikio yangu yanapoteza usikivu
You have
Meniere disease
Treatment
Low salt diet
Diuretic (Aprimox 10mg once daily)
Diazepam 5mg for Tinittus
IV Lidocaine 50-100mg for Tinittus
Oral steroids (Predinisone)
Muone ENT SURGEON akusaidie
 
Mm nilikua natatizo km lako. Nimetibu kwa kutumia MAJANI MABICHI Y BANGE nilikua nachanganya n maji kidogo kisha nakamlia ckioni tone mbili mara mbili kwa cku.
Zaidi y cku 5 baada y hapo ckio ikaziba kwa cku 12. Cku nimelala ckio lenye Tatizo likatoa bonge la uchafu ulio kama mavi y sungura. Nika safisha kwa vile vijiti vilikua vinatoa uchafu cyo poa. Mpaka ss nimepona kabisa
 
Nimeenda leo mchana nimemuona Specialist Dr Ngereja,sikio langu kasema Lina infections ipo kwa nje.Lilikuwa linatoa majimaji,kanisafisha na kibomba fulani halafu mwishoni kashindilia ndani kwenye sikio kama utambi fulani una dawa.
Nimeambia Ijumaa nirudi atoe then niandikiwe dawa za kuendelea kutumia.

Nimepata maumivu makali kipindi anaweka huo utambi hatariiii.

Ngoja nione kama nitakuwa sawa baada ya matibabu
 
Ooh, pole dana mkuu
Mimi yangu yanawasha mpaka nadata... yalikua yakitoa mpk maji ila yameacha sasa. Ni kuwasha tu. Na nimeshindwa kuacha yakuna aisee[emoji23][emoji23] nimekatazwa lakini utamu wake ukiyakuna acha tu.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom