Nasumbuka na uzazi

Pole sana natamka hivi saa hii.MUNGU wa Ibrahim Isaka na Yakobo atakupa mtoto kama unavyotaka,nayasema haya kupitia kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth aliye hai, mwaka huu hauishi utapata mtoto wa kiume.haijalishi wewe una fuata dini gani ama imani gani,haya maneno nayatoa mimi kwa mamlaka niliyopewa mimi na wewe kuwa "ombeni chochote kwa Baba kwa imani kwa kutumia jina langu nanyi mtapata'',asema BWANA YESU KRISTO mwana wa pekee wa Mungu anayeisha na kutawala pamoja naye milelel hata milele, sema AMEN.
 
Shida IPO kwa muda gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa,ila mm sio mnene wala mwembamba nipo kati tu labda uo ushaur Wa yy

Sent using Jamii Forums mobile app
sawa mkuu, nilijaribu ongelea general maana sikuwa nakufahamu, ila kwa ufahamu wangu na ushahidi nilio nao ni kuwa ulaji wa vyakula pia ni changamoto sana katika issue hii hasa miaka hii ya kileo,
Mshauri mwenzetu mkajipatie uhakika, yani kwake kwakuwa mimi na wewe hatujui anahali gani baada ya hapo unaweza jua wapi pakuanzia pasipo na shaka pia ningeweza toau ushauri flani ila kwakuwa upande mmoja haujulikani hali itanibidi niache kwanza,
Yote kwa yote Nakuombe kwa mwenyezi Mungu asikie Maombe na kilio chenu maana hamna kitu kinauma ka pindi unataka then hupati
 
Toa tu huo ushauri huwez jua mkuu huenda ukanisaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa tu huo ushauri huwez jua mkuu huenda ukanisaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeomba ushauri kwa wataala u;maDokta na umma.... Jee umeomba kwa Muumba wao hao..?
Siye wengine alHamdulillah (thanks to Almighty)
Tunamuangukiaga Mwenyeezi Mungu papohapo nae hujibu papohapo!! (Kama alivyoahidi)
Do it now !!
Mola akukirimu watoto nk nk..
 
Toa tu huo ushauri huwez jua mkuu huenda ukanisaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
awali wa yote mkuu jitahidi upate majibu kwa upande wapili then jitahidi mtafuta huyu mtu popote pale
Dr Boaz Mkumbo labda anaweza kukusaidia chochote,sina nia ya kibiashara wala sina maslahi na daktari huyo ila kwa vile nimemsoma na kufuatilia elimu yake nimejifunza mengi sana na naamini yanaweza kuwa na matokeo chanya na Mungu akiwa pamoja nanyi, huyo unaweza mcheki kwenye mitandao ya kijamii na youtube
 
Shukran


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa tu huo ushauri huwez jua mkuu huenda ukanisaidia
mm nimehangaika sana na mke wng miaka 5 ya ndoa. kila aina ya dawa zimetumika. mwisho tulienda TMJ Hospital tukakutana na Dokta Debora. na ww pamoja na huyo mumeo mungeenda maana yawezekana tatizo liko kwake. Wala msijali dawa zipo nyingi tu.
 
mm nimehangaika sana na mke wng miaka 5 ya ndoa. kila aina ya dawa zimetumika. mwisho tulienda TMJ Hospital tukakutana na Dokta Debora. na ww pamoja na huyo mumeo mungeenda maana yawezekana tatizo liko kwake. Wala msijali dawa zipo nyingi tu.
Wenzangu kama mshatoka kwenye hii boat hongereni tutajipanga tutaenda kwani sijakata tamaa najua Mungu atanipatia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namuomba lkn siwezi kaa tu na kutegemea miujiza lazima nihangaike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui lkn doc alishauri nayy apime


Sent using Jamii Forums mobile app
mamii anza kula vyakula vya kulance hormone kwanza, mle wote yeye na wewe.

kula korosho, mbegu za maboga kwa sana kabla ya mzunguko. Then uwe unakula mihogo na viazi tumia hata kwa kunywea chai. vitakusaidia. malimao pia wakati unaovulate husaidia kuboresha PH kwenye vagina, unajua vi sperm vingine vikikutana na acidic eviroment vinakufa, vinashidwa kusafiri mpka yai lilipo. so drink lemon water itenengeze Ph nzuri kiping cha ovulation. hakika itakusaidia. pIA HAKIKISHA UNAPATA LISHE BORA WEWE NA MMEO.
 
Hapo kwenye limao sikua najua thanx

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hasa 1. sperm count inamatter sana - wingi 2. speed ya kutoka inabidi ziruke pwaaaaa!! sasa kama zatka kwa dkudorora hapo shida
Hajawahi Pima ila atapima soon na ndivyo doc alivyoshauri maaana niliposafishwa doc akawa ananipa dawa za kuforce uzazi lakini wapi aliponipa ya mwisho ambayo ilikuwa tofauti na nyingine akaniambia nisipobeba inabid Mr aende

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu sijui ni wanaume wote au ni yy tu yani tukido ataachia kagoli kamoja ila tukicheza tena awezi kufunga goli na tukisema Kwa mfano tufululize kucheza kama Leo atafunga goli kesho atalivutia Kwa mbali siku zifuatazo hafungi kabisa nakumbuka kuna siku tulipangiwa na doc za Kudo aliweza sijui mbili nyingine hola sasa je na nyie midume mko hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni huyo wa kwako tu njoo pm nikutunuku mimba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…