chuwaalbert
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 3,598
- 2,137
Huna haja ya kusubiri kwani hata kabla hajasema wewe umeshampangia aseme nini
leo haongei na wazee wa darisalama?
labda kama unataka kuangalia tabasamu lake maana ataanza kukenuakenua kama mwanamke anetekenywa tekenywa hamna jipya kwake, ni heri angewahutubia mke wake na watoto wake
Hana la kusema aibu tupu hii nchi, hakuna ajira, mafuta disaster, mafuriko, mishahara mpaka sasa kwa baadhi ya sekta bado hawajapata. Ushauri wangu kwa JK we lala tu, kula mwaka mpya kwa raha zako. hatutaki kukuona kwe TV. Kichefuchefu. Khaaaaaa!!!!:yawn::yawn:
Yaani wewe ndo hewa kabisa! Badala ya kufikiria masuala ya msingi kama ajira,umeme unaleta bla bla,umetumwa nini? Ndo nyie mnaoandaliwa maswali ya kumuuiza mtuNdugu wana JF, leo mwaka wa 2011 unaisha. Kama kawaida Rais atatuhutubia na kutueleza vipaumbele vyake vya mwaka unaofwata. Ubaya ni kuwa mengine anakuja fanya ambayo hayakuwa kipaumbele chake, matokeo yake anayatekeleza VIBAYA! Kwa nfano, suala la Katiba mpya, aliibuka nalo hewani pale alipotuhubia mwishoni mwa mwaka jana, wakati kwenye kampeni za kuusaka ulaji hili halikuwa kipaumbele chake na chama chake! Mwaka huu ataibuka na lipi?
1. Tungependa kupata ufafanuzi wa VITAMBULISHO vya TAIFA. Zoezi linaendeleaje?
2. Tngependa kujua anayachukuliaje mapendelezo ya wadau kuhusu sheria ya Katiba mpya.
3. Tungependa kujua msimamo wake kuhusu kulipwa kwa DOWANS!
Nawasilisha!