Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,624
- 65,097
Aah..... kmmk😂View attachment 2587924
Huyo pisi yupo tayari kukutoa out
Wengi ni omba ombaUkipata mwanamke akakuhudumia kwa pesa yake, ikafika laki! Huyo mwanamke muoe bila hata kuangalia uzuri wa sura wala umbo!
Waje sasa waokoe jahazimashangazi mbona yapo na wewe 😂
Ni kusaidiana, leo unatumia za kwangu, kesho natumia za kwakoAnother Marioo In Town.
Mbona kama ana mkia hiviView attachment 2587924
Huyo pisi yupo tayari kukutoa out
Wanatakiwa watuthibitishie kama sio omba ombaMe pia nasubir nitolewe out na mwanamke
utajua hujui 😂Mbona kama ana mkia hivi
Tuthibitishie kama wanawake wengi si omba ombaOne man down
Mnawatoaga wapi hao ombaomba?Tuthibitishie kama wanawake wengi si omba omba
Rejea no. 12Mnawatoaga wapi hao ombaomba?