Nasubiri kwa hamu Taifa Stars itakapocheza Kombe la Dunia

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
385
najipa matumaini kabla ya 2030 tanzania inaweza kushiriki kwenye fainali za kombe la dunia,nani anabisha?
 
Mimi nabisha nasema nabisha, tena na tena. CHAN tu tumeshinwa Africa cup of nations tunashindwa, wewe unawaza world cup? Kweli? Halafu Malinzi rais TFF. Duh!! Utasubiri sana
 
Back
Top Bottom