Nasubiri kupaka rangi

kodi ya ardhi na jengo nani atakusanya?
 
Mweh... Mbona mimi nakosa kazi ya kufanya??? Basi ntamsaidia daddy watu8 kuezeka!
 
Last edited by a moderator:
Mimi ntakua baba mwenye nyumba, kodi nakula mimi
 
Hapo huyo wa kupaka rangi atalala milele kwa sababu kama mfumo uliopo hautabadilika, kazi yake haipo. Hatakua na kazi ya kupaka rangi ndio maana kalala zake na hiyo nyumba haitakaa ikamilike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…