Nassari: Nitaendelea kutiririsha ushahidi wa rushwa ya madiwani kuelekea Takukuru kama Isidingo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,937
141,911
Mbunge Nassari amesema amerekodi ushahidi wa kutosha wa jinsi madiwani walivyokuwa wakishawishiwa na kupokea rushwa huko Arumeru. Amesema upelekaji wa ushahidi huo hautakuwa na mwisho kama ilivyo tamthiliya ya Isidingo. Source ITV habari!!
 
Ushahidi wa video anyway tusubiri mahakama ila ushahidi wa video huwa haukubaliki. Chadema wanahangaika kuwapaka matope kwa ajili ya uchaguzi wa marudio anyway ruksa wahangaike watakavyo lakini kuna kitu hawatafanikiwa sikiweki hapa waendelee tu kutiririka. Ila kifupi hawatafanikiwa na anahangaika na siasa za kitoto kwa ajili ya uchaguzi unaokuja wa Madiwani wanajaribu kuwapaka mavi mmmm haha Ha ha Ha ha wacha nicheke na mkakati wao wa kitoto
 
At least huyu anafanya mambo yake akitumia kipawa chake cha akili, sio kama Yule vuvuleza mwizi wa magari LEMA
 
Nani amekuambia ushahidi wa video haukubaliki?
 
Sipendi hii tabia kbs, haiwezekani Kichwa kimoja Tundu Lisu kiwanyime wahenga usingizi mpaka waamue kumuediti kutaka aitwe jina jingine lakini Mungu Muumba wa Mbingu na nchi akakataa.
Leo tena hao hapo makamanda wawili kama mia mbili Lema na Nasari, flash tu chama cha mbogamboga miguu juu.
Hivi huko kwa wahenga hakunaga Ma~Great Thinker? Au great thinka huko ni poliopolio?
 
Ushahidi wa video anyway tusubiri mahakama ila ushahidi wa video huwa haukubaliki. Chadema wanahangaika kuwapaka matope kwa ajili ya uchaguzi wa marudio anyway ruksa wahangaike watakavyo lakini kuna kitu hawatafanikiwa sikiweki hapa waendelee tu kutiririka. Ila kifupi hawatafanikiwa na anahangaika na siasa za kitoto kwa ajili ya uchaguzi unaokuja wa Madiwani wanajaribu kuwapaka mavi mmmm haha Ha ha Ha ha wacha nicheke na mkakati wao wa kitoto
Ushahidi unakubalika kwa mujibu wa sheria ya makosa ya mitandao.
 
Mbunge Nassari amesema amerekodi ushahidi wa kutosha wa jinsi madiwani walivyokuwa wakishawishiwa na kupokea rushwa huko Arumeru. Amesema upelekaji wa ushahidi huo hautakuwa na mwisho kama ilivyo tamthiliya ya Isidingo. Source ITV habari!!
Nassari akaongee na Kibatala, Mallya na Petro Mselewa kabla hizi mbwembwe hazijaufanya huo ushahidi usiweze kutumika mahakamani.
 
At least huyu anafanya mambo yake akitumia kipawa chake cha akili, sio kama Yule vuvuleza mwizi wa magari LEMA
Kweli vuvuzela ni yule mjinga na limbukeni mwenye PhD za mabua aliyenunua Bajaj huku familia yake ikitapatatapa kwa njaa
 
Mbunge Nassari amesema amerekodi ushahidi wa kutosha wa jinsi madiwani walivyokuwa wakishawishiwa na kupokea rushwa huko Arumeru. Amesema upelekaji wa ushahidi huo hautakuwa na mwisho kama ilivyo tamthiliya ya Isidingo. Source ITV habari!!
Vizuri sana Mbunge Nassari kwa juhudi zako watanzania tungependelea kuona unafanya uchunguzi wa harufu za ufisadi ndani ya Chadema pia. Ni kitendo ulichokifanya kimeaathiri kwa kiasi kikubwa Chadema imeonyesha viongozi wa Chadema how cheap are.
 
Back
Top Bottom