Nassari na Lissu wamekuja na mbinu mpya ya kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya tano

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Baada ya muda wa takribani masaa 48 tangu Lissu atenguliwe ubunge nimerejea ya Nassari nikatafakari zaidi kufungwa kwa dirisha la usajili mnamo mwezi Novemba mwaka 2018. Pia nikakumbuka nilishawahi kuleta uzi ulitabiri Lissu kuachana na siasa za upinzani kabla au mwaka 2020.

Naam,hapa ni JF sehemu ambayo mengi huzungumzwa na kujadiliwa kama mzaha lakini huwa kweli.Napenda kuweka kumbukumbu sawa kuwa wote Lissu na Nassari watapata mafao (gratuity) yao ya ubunge kwa kupigiwa hesabu miezi waliyotumikia.Mfano,Lissu katumikia kuanzia mwezi November 2015 hadi Juni 2019 ni miezi 44 ya ubunge,hivyo atalipwa gratuity kwa kipindi alichokuwa Mbunge.

Hoja ipo hapa sasa,"njaa haina baunsa" zaidi "hakuna mkate mgumu mbele ya chai" kwenye siasa kuna mambo mengi sana usitegemee Lissu ataunga mkono juhudi kama alivyounga Waitara?Kila mtu anapigania tumbo lake na familia yake.Huenda wengine kutokana na ufuasi wao kwa Lissu wataishia kukasirika na kumtukana mleta hoja ila ninawasihi tufikiri kwa sauti.

Zaidi,Tulete vurugu zisizoumiza ili tuweke akiba ya maneno.Tutafakari kwa kina ila kwa awali hili suala huenda Tundu Lissu kaamua kuja na mtindo mpya kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano (5).

Nawasilisha!
 
Take it easy my friend, unahangaika sana na siasa za bongo maisha ni haya haya usikute unaowadhihaki wanaishi maisha bora kuliko yako.
 
Huu ni uzi wako wa ngapi kuhusiana na
Lissu kuvuliwa ubunge?
 
Take it easy my friend, unahangaika sana na siasa za bongo maisha ni haya haya usikute unaowadhihaki wanaishi maisha bora kuliko yako.
Kweli aisee, na wengine wanatumbua tu pesa za michango yetu kwa kisingizio cha ugonjwa
IMG_20190630_135554.jpg
 
Take it easy my friend, unahangaika sana na siasa za bongo maisha ni haya haya usikute unaowadhihaki wanaishi maisha bora kuliko yako.
Hakuna dhihaka kamanda ni mjadala tu...hao wote ni wajasiriasiasa wana ukwasi wa kutosha
 
Ndugu zangu,

Baada ya muda wa takribani masaa 48 tangu Lissu atenguliwe ubunge nimerejea ya Nassari nikatafakari zaidi kufungwa kwa dirisha la usajili mnamo mwezi Novemba mwaka 2018. Pia nikakumbuka nilishawahi kuleta uzi ulitabiri Lissu kuachana na siasa za upinzani kabla au mwaka 2020.

Naam,hapa ni JF sehemu ambayo mengi huzungumzwa na kujadiliwa kama mzaha lakini huwa kweli.Napenda kuweka kumbukumbu sawa kuwa wote Lissu na Nassari watapata mafao (gratuity) yao ya ubunge kwa kupigiwa hesabu miezi waliyotumikia.Mfano,Lissu katumikia kuanzia mwezi November 2015 hadi Juni 2019 ni miezi 44 ya ubunge,hivyo atalipwa gratuity kwa kipindi alichokuwa Mbunge.

Hoja ipo hapa sasa,"njaa haina baunsa" zaidi "hakuna mkate mgumu mbele ya chai" kwenye siasa kuna mambo mengi sana usitegemee Lissu ataunga mkono juhudi kama alivyounga Waitara?Kila mtu anapigania tumbo lake na familia yake.Huenda wengine kutokana na ufuasi wao kwa Lissu wataishia kukasirika na kumtukana mleta hoja ila ninawasihi tufikiri kwa sauti.

Zaidi,Tulete vurugu zisizoumiza ili tuweke akiba ya maneno.Tutafakari kwa kina ila kwa awali hili suala huenda Tundu Lissu kaamua kuja na mtindo mpya kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano (5).

Nawasilisha!
Haiwezekani ikafika sehemu ukakua kidogo?
 
Usichanganye haya mambo, Lisu yuko matibabu baada ya kushambuliwa na waliojitokeza sasa kumvua ubunge kwa sura ya kutekeleza sheria. Nassari alichukua pesa za ccm ila akaona aibu kujiunga ccm waziwazi baada ya dhamira kumsuta.
Hata Nassari alikuwa US kwenye matibabu ya mkewe
 
Back
Top Bottom