democratic tambua kuwa siasa siyo uadui ni kupingana tuu kwa sera na mitazamosijapata sababu ya uwepo wa huyo mbunge wa magamba au na yeye yupo arumeru siku hizi?
sijapata sababu ya uwepo wa huyo mbunge wa magamba au na yeye yupo arumeru siku hizi?
Hapo ni kanisani unless ukituthibishia kuwa Kange Lugora ni mwislamu na sio mkristu ndipo tutaanza kuhoji. kama ni mkristu mwenzake hakuna sababu ya kuhoji uwepo wake kanisani hapo na hata kumsindikiza mbunge mwenzie kumshukuru Mungu
mkuu hapo umemaliza kila kitu,tunashabikia viongozi wetu wa cdm ili watuletee maendeleo leo sukari ni sh 2600 hapa mza kiwanda kipo hapo kagera tu,nitaipenda ccm kwa kipi ?Shukrani kwa mungu ni jambo kubwa sana hasa kwetu sisi wakristo na pia shukrani kwa wote waliokupigia kura kampeni na kuzilinda kura! tunakumbuka sana tulivonyeshewa pale Leganga kwenye ofisi za halmashauri kulinda kura! sasa bwana mdogo jikite kutekeleza ahadi zako! kero za maji!! barabara! shule!! afya na donda dungu la arumeru " ardhi" hiyo ndio njia pekee ya kutushukuru wana Meru kwa kukupigia kura na kuzilinda! bwana awe nawe na akulinde!!
Nassari yupo Kanisani...safi sana..sasa waislam waliokuchagua shukrani zao utazitolea wapi?
Nassari yupo Kanisani...safi sana..sasa waislam waliokuchagua shukrani zao utazitolea wapi?
Mmmmm:A S-coffee:Shukrani kwa mungu ni jambo kubwa sana hasa kwetu sisi wakristo na pia shukrani kwa wote waliokupigia kura kampeni na kuzilinda kura! tunakumbuka sana tulivonyeshewa pale Leganga kwenye ofisi za halmashauri kulinda kura! sasa bwana mdogo jikite kutekeleza ahadi zako! kero za maji!! barabara! shule!! afya na donda dungu la arumeru " ardhi" hiyo ndio njia pekee ya kutushukuru wana Meru kwa kukupigia kura na kuzilinda! bwana awe nawe na akulinde!!