Nasredin Nabi nashukuru kwa kutufikisha hapa

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
2,157
10,761
Nsikuchoshe na usinichoshe,tusichoshane!.

Kwanza kabisa nikiri,mimi ni mpenzi na shabiki mkubwa wa Dar Young Africans au kwa Kiswahili Yanga.

Klabu hii imepitia changamoto sana hasa wakati ambapo wenzetu waliingia kwenye mabadiliko ya kiundeshaji,wakati wao wakiwa kwenye machakato wa mabadiliko tayari walikuwa na mtoa fedha ambaye aliwekeza fedha zake ili kuiletea klabu matokeo chanya,matokeo yake tuliyaona kwa kututesa kwa takribani miaka 4.

Wakati wenzetu wakiwa na furaha kwa misimu minne,sisi wengine tulikuwa tukisuasua kwa ukosefu wa fedha.

Nitoe shukurani sana kwa uongozi wa timu yangu ya Yanga kuingia kwenye mabadiliko ambayo leo tunaona faida yake.Sasa pamoja na kuwa tunaona faida ya kuwa na mfumo wa uendedhaji timu ulio imarika lakini bado nina mashaka makubwa mno na benchi la ufundi.

Nimshukuru Kocha wetu Nasredin Nabi tangu amekuja nchini Yanga imekuwa ikicheza mpira mkubwa mno lakini bado nina mashaka makubwa pia na ufundishaji wa kocha huyu.Yanga hii iliyokamilika kila idara sijui bado inakosea wapi kwani tuna tatizo kubwa la upatikanaji wa mabao.

Nakumbuka miaka mitatu hadi minne iliyopita Yanga ilikuwa inatoa dozi za mabao ya kutosha kwa timu pinzani lakini kwasasa pamoja kuwa na striker bora hapa Afrika lakini tunaambulia magoli machache.

Sijajua ni mbinu za ufundishaji za kocha Nabi au uenda tatizo ni nini!,Kwa Yanga hii iliyokamilika kila Idara nilitegemea tunapoingia uwanjani mpinzani yeyote akikutana na kipigo kidogo basi iwe angalau goli tatu,lakini ushindi wetu umekuwa wa kupambana sana,nafasi tunatenegeneza za kutosha lakini tunapata goli chache!.

Nadhani kwasasa Nabi anapaswa apumzike ili aletwe kocha mwingine mwenye mbinu mpya!.

Nauomba uongozi huu msimu uwe wa Mwisho kwa Kocha Nabi,Nabi ni kocha mzuri sana lakini pia anayo mapungufu yake.

Ni hayo tu.
 
Fergason na Arsenal Wenger wamefundisha timu zao Kwa muda gani?
 
Mnaleta kocha anawapa makombe ambayo ilipita miaka bila kuyapata, anawapeleka kimataifa, Leo mnamnanga eti mnataka magoli mengi, nabii huyu huyu ambae simba wanamuona kama mchawi wao

Akija kocha akileta mabao mengi asichukue vikombe ndo atafaa sio,

Mnasemaje wanawake hawajui wanachotaka ila nahisi ni binadamu wote tu
 
Au Kama vipi kaendelee na Ally mpemba wako na kulisha na kulala na misukule! Tangu lini usikia shabiki kweli wa yanga akalala na misukule?
 
Ok yanga hawafungi goli nyingi lakini je Munafungwa wastani wa goli ngapi kwa kila mechi?

Mwaka 1993, Ac milan walibeba ubingwa wa scudeto kwa tofauti ya goli 21 za kufunga na kufungwa kama nitakuwa sahihi (walifunga magoli 36 katika mechi 34 na kufungwa magoli 15)

Na ndio mwaka huo huo waliobeba ubingwa wa ulaya kwa kumfunga barcelona magoli manne na pia kuchukua ubingwa wa supercoppa italia.
 
Mnaleta kocha anawapa makombe ambayo ilipita miaka bila kuyapata, anawapeleka kimataifa, Leo mnamnanga eti mnataka magoli mengi, nabii huyu huyu ambae simba wanamuona kama mchawi wao

Akija kocha akileta mabao mengi asichukue vikombe ndo atafaa sio,

Mnasemaje wanawake hawajui wanachotaka ila nahisi ni binadamu wote tu
Haya majamaa ya upande w pili yanakujaga kwa rangi tofautitofauti. Hayampendi Nabbi kama nn. Mwaka wa nne huu hayajaifunga yanga. Na tangu Nabbi aje hayajamfunga.
 
Mmeanza tena kama kawaida yenu hamchoki. Mlianza kioindi kile tumetolewa na Hilal klabu bingwa akaja kufuzu Confederation ugenini kwa muarabu mkatulia na hapo kabla mlianzisha vitetesi vya uongo eti kapewa mechi mbili tatu hii kutuvuruga lakini Yanga siku zote sio kama makolo tulitulia tuli sasa hivi mmekuja na visababu vingine yan ili mradi kutaka kuleta purukushani tu timu itetereke.

Hakuna unachojua kuhusu fitina kaa kimya wanaume tunabeba na msimu huu
 
Nsikuchoshe na usinichoshe,tusichoshane!.

Kwanza kabisa nikiri,mimi ni mpenzi na shabiki mkubwa wa Dar Young Africans au kwa Kiswahili Yanga.

Klabu hii imepitia changamoto sana hasa wakati ambapo wenzetu waliingia kwenye mabadiliko ya kiundeshaji,wakati wao wakiwa kwenye machakato wa mabadiliko tayari walikuwa na mtoa fedha ambaye aliwekeza fedha zake ili kuiletea klabu matokeo chanya,matokeo yake tuliyaona kwa kututesa kwa takribani miaka 4.

Wakati wenzetu wakiwa na furaha kwa misimu minne,sisi wengine tulikuwa tukisuasua kwa ukosefu wa fedha.

Nitoe shukurani sana kwa uongozi wa timu yangu ya Yanga kuingia kwenye mabadiliko ambayo leo tunaona faida yake.Sasa pamoja na kuwa tunaona faida ya kuwa na mfumo wa uendedhaji timu ulio imarika lakini bado nina mashaka makubwa mno na benchi la ufundi.

Nimshukuru Kocha wetu Nasredin Nabi tangu amekuja nchini Yanga imekuwa ikicheza mpira mkubwa mno lakini bado nina mashaka makubwa pia na ufundishaji wa kocha huyu.Yanga hii iliyokamilika kila idara sijui bado inakosea wapi kwani tuna tatizo kubwa la upatikanaji wa mabao.

Nakumbuka miaka mitatu hadi minne iliyopita Yanga ilikuwa inatoa dozi za mabao ya kutosha kwa timu pinzani lakini kwasasa pamoja kuwa na striker bora hapa Afrika lakini tunaambulia magoli machache.

Sijajua ni mbinu za ufundishaji za kocha Nabi au uenda tatizo ni nini!,Kwa Yanga hii iliyokamilika kila Idara nilitegemea tunapoingia uwanjani mpinzani yeyote akikutana na kipigo kidogo basi iwe angalau goli tatu,lakini ushindi wetu umekuwa wa kupambana sana,nafasi tunatenegeneza za kutosha lakini tunapata goli chache!.

Nadhani kwasasa Nabi anapaswa apumzike ili aletwe kocha mwingine mwenye mbinu mpya!.

Nauomba uongozi huu msimu uwe wa Mwisho kwa Kocha Nabi,Nabi ni kocha mzuri sana lakini pia anayo mapungufu yake.

Ni hayo tu.
Wachezaji waliokamilika! Mfumo wa uchezaji wa Yanga unategemea mawinga na kwasasa Yanga hakuna mawinga wa maana zaidi ya Morrison. Faridi, Moloko na Kisinda wameshindwa vile ambavyo wanapaswa kufanya. Timu imebakia na Aziz Ki pekee yake mbele katika kuchezesha timu.
 
Nsikuchoshe na usinichoshe,tusichoshane!.

Kwanza kabisa nikiri,mimi ni mpenzi na shabiki mkubwa wa Dar Young Africans au kwa Kiswahili Yanga.

Klabu hii imepitia changamoto sana hasa wakati ambapo wenzetu waliingia kwenye mabadiliko ya kiundeshaji,wakati wao wakiwa kwenye machakato wa mabadiliko tayari walikuwa na mtoa fedha ambaye aliwekeza fedha zake ili kuiletea klabu matokeo chanya,matokeo yake tuliyaona kwa kututesa kwa takribani miaka 4.

Wakati wenzetu wakiwa na furaha kwa misimu minne,sisi wengine tulikuwa tukisuasua kwa ukosefu wa fedha.

Nitoe shukurani sana kwa uongozi wa timu yangu ya Yanga kuingia kwenye mabadiliko ambayo leo tunaona faida yake.Sasa pamoja na kuwa tunaona faida ya kuwa na mfumo wa uendedhaji timu ulio imarika lakini bado nina mashaka makubwa mno na benchi la ufundi.

Nimshukuru Kocha wetu Nasredin Nabi tangu amekuja nchini Yanga imekuwa ikicheza mpira mkubwa mno lakini bado nina mashaka makubwa pia na ufundishaji wa kocha huyu.Yanga hii iliyokamilika kila idara sijui bado inakosea wapi kwani tuna tatizo kubwa la upatikanaji wa mabao.

Nakumbuka miaka mitatu hadi minne iliyopita Yanga ilikuwa inatoa dozi za mabao ya kutosha kwa timu pinzani lakini kwasasa pamoja kuwa na striker bora hapa Afrika lakini tunaambulia magoli machache.

Sijajua ni mbinu za ufundishaji za kocha Nabi au uenda tatizo ni nini!,Kwa Yanga hii iliyokamilika kila Idara nilitegemea tunapoingia uwanjani mpinzani yeyote akikutana na kipigo kidogo basi iwe angalau goli tatu,lakini ushindi wetu umekuwa wa kupambana sana,nafasi tunatenegeneza za kutosha lakini tunapata goli chache!.

Nadhani kwasasa Nabi anapaswa apumzike ili aletwe kocha mwingine mwenye mbinu mpya!.

Nauomba uongozi huu msimu uwe wa Mwisho kwa Kocha Nabi,Nabi ni kocha mzuri sana lakini pia anayo mapungufu yake.

Ni hayo tu.
Bab rehema hapan aise ubora wa kocha pia inapimwa na wachezaji walio nayo hata huyo olivieraa Ni wa muda the
 
Hamna kocha pale sehemu zote alitumuliwa kwasababu alikuwa hafanyi vizuri Caf champions league na Caf confederation cup yanga woa wanaona wamepata professor kocha hana mbinu yoyote yupo yupo tu

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Au Kama vipi kaendelee na Ally mpemba wako na kulisha na kulala na misukule! Tangu lini usikia shabiki kweli wa yanga akalala na misukule?
Sidhani kama una akili timamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom