Nasomaje Advanced chemistry?

Oya subiri subiri kwanza kuchangamke maana hayo maji ya uji ndio kwanza yapo jikoni tia unga mapema usije ukaivisha mabuja, Chuo kikishachangamka utaelewa kila kitu hata usichotaka kuelewa niamini mimi kuna group discussion utakutana na wenzio watakupa mbinu nyingine za kuelewa haraka
 
Bora shemeji katoto yeye ametulia na kitabu hataki shida japo nawaza usipokuwa unalishwa mawe basi utarudi kwa bi mkubwa bila kupenda ila yale mengine sikushauri yanaonekana majambaka tu hata majina yao yaneleza kabisa
huyu ana kautakatifu fulani hivi eeh? sasa ndio mpaka amalize masomo yake ya sayansi si ntakuwa na wajukuu! aisee ntamuonea tu bure, atatoka na wa kwaeshuleni tu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…