Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 3,341
- 6,913
Achana na elimu ndugu, ingia shambani Kuna MaliWakubwa shikamoni aisee ndo kwanza naanza ila madude ni magumu hayagusiki
1.General Chemistry
2.Physical Chemistry
3.Organic Chemistry
4.Inorganic Chemistry
5.Acid,base and salt
Nimejaribu kugusa Aufubau principle naona hata siwezi kuandika electronic configuration, pia Hydrogen spectrum ya Bohr's model(Balmers series,Laymers series,Paschen series, p-fund)
Ukija kwenye quantum orbitals haya maua na xyz coordinates yananichanganya. Nikaona niguse tena organic kwenye principle of showing reactions za benzene napo hapagusiki. Nikajaribu tena Physical kwenye Azeotropic mixture hata siyaelewi. Wadau nyie mlisomaje?
AI inanicomfuseTumia Al kurahisisha na kupata summary notes nzuri
Shida yako unataka uyaelewe yote kwa muda mfupi ,jipe muda.Wakubwa shikamoni aisee ndo kwanza naanza ila madude ni magumu hayagusiki
1.General Chemistry
2.Physical Chemistry
3.Organic Chemistry
4.Inorganic Chemistry
5.Acid,base and salt
Nimejaribu kugusa Aufubau principle naona hata siwezi kuandika electronic configuration, pia Hydrogen spectrum ya Bohr's model(Balmers series,Laymers series,Paschen series, p-fund)
Ukija kwenye quantum orbitals haya maua na xyz coordinates yananichanganya. Nikaona niguse tena organic kwenye principle of showing reactions za benzene napo hapagusiki. Nikajaribu tena Physical kwenye Azeotropic mixture hata siyaelewi. Wadau nyie mlisomaje?
Piga picha kitabu mwambie akupe summary kipande ulichopiga na maelekezo ya kina pia kwa uelewa zaidiAI inanicomfuse
Ww kila kitu umesoma 😁😁😁Nilianza na organic chemistry , kwa muta mitaa ya ng'ambo miaka hiyo
😁😁 si wanasema elimu haina mwisho mkuu, lolote unasoma linalojitokeza mbele yakoWw kila kitu umesoma 😁😁😁
Shukrani mkuuShida yako unataka uyaelewe yote kwa muda mfupi ,jipe muda.
Hizo ni topic rahisi sana sijawahi kukosa swali la hizo topic. Soma moja baada ya nyingine kwa utulivu, usiwasikilize wanaokwambia muda umeisha.
Naunga mkono hojaAchana na elimu ndugu, ingia shambani Kuna Mali
Shukrani mkuuPiga picha kitabu mwambie akupe summary kipande ulichopiga na maelekezo ya kina pia kwa uelewa zaidi
Muhmu tumia kitabu, yeye AI achambue ya kweny kitabu
Physics nilianza nayo sijaona maajabu sanaChem tu inakukata makofi..
Physics itakuchoma moto kabisa.
General chemistry tumia TIE na ngaiza kwa ajili ya concept zaidi.Wakubwa shikamoni aisee ndo kwanza naanza ila madude ni magumu hayagusiki
1.General Chemistry
2.Physical Chemistry
3.Organic Chemistry
4.Inorganic Chemistry
5.Acid,base and salt
Nimejaribu kugusa Aufubau principle naona hata siwezi kuandika electronic configuration, pia Hydrogen spectrum ya Bohr's model(Balmers series,Laymers series,Paschen series, p-fund)
Ukija kwenye quantum orbitals haya maua na xyz coordinates yananichanganya. Nikaona niguse tena organic kwenye principle of showing reactions za benzene napo hapagusiki. Nikajaribu tena Physical kwenye Azeotropic mixture hata siyaelewi. Wadau nyie mlisomaje?
Kwa hali hii si ndo tutazalisha madokta wa gugoo zaidiPiga picha kitabu mwambie akupe summary kipande ulichopiga na maelekezo ya kina pia kwa uelewa zaidi
Muhmu tumia kitabu, yeye AI achambue ya kweny kitabu
Unasoma shule gani ? Mkoa gani?Physics nilianza nayo sijaona maajabu sana
Acha utan physics ya advance, mechanics yenyewe tu ukikaa vibaya unaacha ndalaPhysics nilianza nayo sijaona maajabu sana
Mwambie aje nimpige paper la rotation of the rigid bodies na Projectile motion kama hajatubu .Acha utan physics ya advance, mechanics yenyewe tu ukikaa vibaya unaacha ndala