Zamani itabakia kua Zamani, ushaelewa labda iimbiwe miondoko ya kufokafoka ndio utaona imebamba, yaan hio nasinzia humo huyo Msanii upcoming angeimba kwa kifokafoka ungeona imebamba sababu ya nyakati na wakati, wakati ule hakukua na miziki ya kuamsha masogoli vinyamkera wenyewe wanaita Singeli