Nasimama na Spika Ndugai

Kwanza ningependa kusema neno dhaifu si tusi wala dhambi, hakuna binadamu au chombo ambacho kinaweza kikajitokeza kwamba ni kikamilifu nikiwa na maana ya kuwa perfect hapa Tanzania na duniani kote. Binadamu tumeumbwa na madhaifu mengi ya kila aina. Ningemshauri spika asingelichukulia hili jambo negatively kwa sababu cag hakuelezea huu udhaifu ni upi? Kwani angekuwa na subira ya kujua cag alimaanisha nini. Hii labda ingemsaidia kujua hayo madhaifu ni yapi na labda ingeweza kumsaidia kurekebisha madhaifu hayo. Wadhifa tunaopewa usitufanye tusiwe watu wakujifunza kutoka kwa wale ambao wanaona yale ambayo hatuyaoni, Busara na hekima na uwezo wa kupokea ukosoaji na kuuc hambua kabla hujatoa maamuzi ni sifa kubwa ya uongozi. Tujifunze kuangalia vitu positevely ni uwezo mkubwa ambao kiongozi anatakiwa awe nao. Huyu jamaa ana vitu muhimu sana vya kuelezea kuhusu hayo mapungufu,let us learn from him. Tusimfunge mdomo.
 
umikosea ungesema umeamua kusimama na mgonjwa wa mtindio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utetezi wako ldhaifu unaonyesha ni kosa Muhimili mmoja kuingilia mwingine. Nimekupa mfano dhahiri wa muhimili mmoja kuingilia mwingine tena kwa kuutuhumu hadharani. Huna Utetezi wa kutosha kaa kimya.
CAG is wrong na Magu is wrong pia.... Ila tujadili CAG....
Kutoa mifano ya wengine hakubadilishi kosa
 
Lazima muelewe context ya ile kitu. CAG hakuitisha press conference na kuanza kulituhumu Bunge. Alikuwa akijibu swali na kusema ‘ yeye na ofisi yake wanafanya kazi yao ila hatua hazichukuliwi, na hiyo kwake yeye ni udhaifu wa Bunge’. It is an open secret kwamba mambo kibao Bunge linayafumbia macho na huu ni udhaifu - either due to poor leadership au kwa sababu tu ya mifumo iliyopo

Nadhani kuna haja wazee wa baraza la kiswahili nao wawepo kwenye hicho kikao cha kumsuta CAG ili wafafanye maana halisi ya “udhaifu”.
 
Kuna tofauti kati ya wabunge na bunge. Bunge lina wabunge, rais pamoja na na mwanasheria mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huko "nje alikosemea" alienda kwenye fungate la likizo ya harusi yake (honey moon) au alikuwa kwenye shughuli za kikazi kwa kofia yake hiyohiyo ya CAG?

"Huko nje" alikosemea, kwa taarifa yako hata fedha ambazo huwa anakagua zingine zikitumika na Spika na bunge lake, 40% huwa zinatoka kwa haohao wa nje. Kwanini wasimuulize namna fedha zao zinavyotumika na kwanini unadhani asijibu?

Ndiyo maana John Pombe Magufuli ni mwoga kusafiri nje kutembeza bakuli, kumbe huogopa kujibu maswali kama haya...

Kwa hiyo ishu siyo kusemea nje au ndani ya nchi....

Bali ishu ni ukweli kuwa, bunge chini ya Spika Job Ndugai ni dhaifu sana, halifanyi na kutimiza wajibu wake kuisimamia serikali ktk matumizi sahihi ya fedha zetu sisi wananchi!!

Ni nini msichoelewa nyie?

Basi kama neno "dhaifu" ni kashfa na tusi kwa Ndugai, basi sisi sote kwenye social medias tunaoendelea kuliita bunge hili ni dhaifu, itolewe "arrest warrant" watufuate na pingu twende kwenye kamati yake tukahojiwe kama Halima Mdee!!
 
Toka nyuma ya keyboard haraf uendelee kuongea haya nadhan ushanielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angejiudhuru kwa maazimio yake kutoshughulikiwa akafanue kazi zingine kama kina mzee mengi au mzee ally mufuruki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uvccm mmeingilia humu Jamii Forum. Yule ni Professor, na mwingine ni division ziro form four, unategemea nini hapo kwenye mizani? Wacha uccm wenu wa kijinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti hawa ndio washabiki wa serikali inayojinadi kupiga vita wizi, rushwa na ufisadi serikalini.

Wanafiki wakubwa hawa!
 
IGP.. Kwanini kuna uharifu sana nchini? Sisi kama polisi tunakamata waharifu ila mahakama ni dhaifu, inawaachia....
Jaji mkuu: Dogo tutakufunga.. u talking too much... unatufundisha kazi??... we gonna shut you the hell up
Wapambe: Huyo ana immune hata akifanya kosa lolote hakamatwi?? Am like whaaaaaat? CAG analindwa mambo ya Auditing only
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…