Nasimama na Spika Ndugai

Endeleni tu kudanganyana CAG ndio hatakiwi kuingiliwa na muhimili wowote kwa sababu yeye ndio mkaguzi wa mihimili yote

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes kwa kazi ya ukaguzi tu na sio kuingilia ama kutoa maoni ya utendaji wa taasisi nyingine..
IGP kwanini uharifu hauishi?? Sisi tunakamata tatizo wakienda mahakamani wanaachiwa...mahakama"Yaani sisi ni dhaifu $%#?"
 
Yes ni dhaifu ila muhimili mmoja kuutukana mwingine...wanasiasa ama mimi na wewe tuko huru kutukana sio yeye anakuwa anaingilia kazi

Rais kila siku anasema ana majina ya mahakimu wanakula rushwa, je hsingilii Muhimili mwingine? Oanisha na huu unafiki wako hapa kisha rudi hapa
 
Rais kila siku anasema ana majina ya mahakimu wanakula rushwa, je hsingilii Muhimili mwingine? Oanisha na huu unafiki wako hapa kisha rudi hapa
MAkosa ya Raisi haya justify makosa ya CAG...... Baki kwenye agenda kuu
Unatuhumiwa kutoka nje ya ndoa.. unajitetea mbona na fulani ana mchiti mkewe? 😀😛😛
 
MAkosa ya Raisi haya justify makosa ya CAG...... Baki kwenye agenda kuu
Unatuhumiwa kutoka nje ya ndoa.. unajitetea mbona na fulan i ana mchiti mkewe? 😀😛😛

Utetezi wako ldhaifu unaonyesha ni kosa Muhimili mmoja kuingilia mwingine. Nimekupa mfano dhahiri wa muhimili mmoja kuingilia mwingine tena kwa kuutuhumu hadharani. Huna Utetezi wa kutosha kaa kimya.
 
Mradi Wa uwanja Wa ndege Geita upon kwenye bajeti IPI!!?? Ujenzi unaendeleaje na fedha zinaenda bila bunge kuidhinisha!!?? Zimepotea tril 1.5 bunge lipo!??? Ni bunge dhaifu sijawahi shuhudia .....
Tena bunge la wakiingia tu wakisema ndiooooo,wanatoka wanaramba posho,waleeee kwenye mandinga ya hela zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza,apitie comment hii imemjibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ulimsikiliza vizuri Prof. Asad alivyotamka au umejaa makisio tu... Usiwe kama pepo
 
Joined December 23, 2018; less than a month hopefully for special ambition.
View attachment 989016
Never expect his resign.
Hawa watu wabaya sana,wanakubali kutumwa ili mradi mshamba mmoja aendelee kutuharibia nchi.Unakubalije kukesha kwenye mitandao huku mwanaume aliyekutuma kauchapa usingizi?????
CAG akiondolewa aweke anayekubali kuficha maovu kama spika wewe utafaidika na nini?
Kwa nini Spika asije na Hoja za kisomi kuwa
(Ripoti ya mwaka.... Mapungufu aliyoaonaa CAG,Hatua bunge zilizochukua,Utekelezaji Serikalini)
Siyo kutishia mtu pingu
 
Huyu atakuwa analipwa na kile chama kisichoweza kujibu hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…