Nasimama na Spika Ndugai

Idiot at work

Umeamua kutumiwa Kama toilet paper

Kwa ufupi Unafanya kazi isiyokuwa na malipo, Unapiga tarumbeta na kutoa povu huku hulipwi chochote

Pole sana, Bora ungetumia muda wa kuandika utumbo wako hapa JF kutafuta pesa

Unasimama na spika, Spika ni Baba yako? Pengine Baba yako hata mlo mmoja huko kijijini hujawahi tuma Hata elfu kumi, Leo unasimama na mzazi wa mwezako? Wewe ni abnormal

Madhara ya kuzaliwa na wazazi wasiosoma ndio haya, Umesomeshwa umuelimisha mzazi wako wewe umegeuka Toilet paper, watu wanatumia na kutupa

Shame upon you

Maoni ya CAG wewe yanakuuma nini, ungeonyesha Bunge sio dhaifu Kama pesa zinazotumika wanaidhinisha wao

Bajeti za kununua korosho? Alipanga Baba yako?
 
We jamaa unaongea nin CAG yupo sahih 10000000% kwake yeye black is black, white is white hakuna kupaka rangi. Yan nchi inaibiwa we unataka apambe et naona kuna mahali pana lega lega!!!! We jamaa ni wale wale wenye njaa zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli unaweza ukawepo lakini kinachoongelewa hapa ni lugha iliyotumika siyo ya kiungwana. Huwezi kuiita taasisi kubwa kama Bunge eti ni DHAIFU. Lugha hizi tuwaachie wanasiasa wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli unaweza ukawepo lakini kinachoongelewa hapa ni lugha iliyotumika siyo ya kiungwana. Huwezi kuiita taasisi kubwa kama Bunge eti ni DHAIFU. Lugha hizi tuwaachie wanasiasa wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii lugha ya kupaka rangi mambo me sitak ata kuisikia ukwel usemwe kama ulivo CAG yupo vizur sana. Nilkua nishaanza kukata tamaa na viongoz wote wa awamu hii lakin nimegundua wapo ambao wapo kwa maslahi ya taifa na sio matumbo yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdomo ni mali yako
Unasimama nae kwa mguu wa kushoto au wakulia au mnasimama nae ktk folen,??[emoji1321]‍♂️
 
Spika na jiwe kitu kimoja ingekua maajabu chakubanga usimame na CAG.Foolish fool
 
mnalo hili mwaka huu,

wewe na huyo Ndugai wako. mmeingia choo cha kike sasa mtaamua kuchutama kwa lazima
 
Liambie jing'ombe hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CAG yuko sahii kabisa, ila Mahali na mbinu alizotumia kufikisha ujumbe wake sio poa.
Spika yuko sahii kabisa kulalamikia kauli ya CAG akiwa USA, ila mbinu anazotaka kutumia kuonya/kuadhibu/kufikisha ujumbe sio poa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upuuuuuuuuuuuuuuzi ++++
Tangu ujiunge mwezi hujamaliza ila kutwa unaleta viroja na kutetea upuuzi unaoliharibu Taifa. Inaonesha ww ni mwajiriwa mpya lakini naomba ujue wazi kuwa hizi shule za kata na wapinzani wametufungua macho sana. Tunajua kwa hakika bunge ni dhaifu hata kama mmeona mlifiche kizani lakini tunajua ni dhxaifu dhaifu dhaifu hadi aibu. Halisimamii tena serikali Bali now ndio linapangiwa cha kufanya ikiwamo kazi kuu ya sasa ni kumpongeza Rais kwa kila atachofanya hata kama ni kibovu mfano grounding ya pm na kuja na kick za korosho.
 
[emoji34][emoji34][emoji34]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijasoma post yako ndefu ila ninacho jua CAG amengea kutokana na namba zinavyo sema na siku zote namba hazidanganyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…