Nasimama na Spika Ndugai

Pale njaa inapohamia kichwani.
Kwa mtu mwenye elimu ya darasa la tatu B Kumuelewa CAG mwenye zaidi ya degree tatu ningumu sana wabunge wa ccm waliacha elimu ikapitika leo hii angalia mnavyotia aibu kama misikule bunge_dhaifu_ccm_dhaifu_zaidi_ya_bunge
 
Kwa mtu mwenye elimu ya darasa la tatu B Kumuelewa CAG mwenye zaidi ya degree tatu ningumu sana wabunge wa ccm waliacha elimu ikapitika leo hii angalia mnavyotia aibu kama misikule bunge_dhaifu_ccm_dhaifu_zaidi_ya_bunge
Unaweza kuwa na akili nyingi,Vyeti hadi vya uprofesa lkn ukakosa HEKIMA. Hata uwe Daktari bingwa vipi lkn course za maadili ya kazi. Usipofuata maadili ya kazi huwezi fanya kazi popote pale Duniani. Viongoz wanapokuwa wanaapishwa licha ya kuwa ni wataalam wa eneo flani lkn pia uapa kiapo cha MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA na usaini. So degree tatu ni nonsense kama HEKIMA, BUSARA na jinsi ya kufanya kazi na watu ni ZERO.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Akili Mlingano
 
Nimesoma bandiko lako kila neno na kila nukta lakini itoshe kusema tu umetimiza haki yako ya Uhuru wa kujieleza. Kwenye masikio haambiwi sikia.
 
Kwani hata ukikaa nae pia atakuelewa sababu mnafanana
 

 
Hii nchi bhn wenye makosa wanaachwa ila wale waliotupa taarifa kua fulan kafanya makosa tunamsema kwann atuambie ..imagine CAG angekaa kimya haya mambo mngejuaje ebu achane kutetea upuuzi .badala ya kumpiga mwizi wampiga aliekushtua kua umeibiwa wtf..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nyie ndio mnaochochea wizi wa fedha za umma..
 
Wewe na akili zako kabisa unamuunga mkono shetani msaidizi anayepewa maagizo na shetani mkuu ili kuficha ufisadi wa matilioni ambao umewasilishwa na kupokelewa kimya kimya na Mzee wa show of .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…