Nasikitika sana

Daah pole sana Dada unapitia magum mno ila ucjl kila kitu kitakua sw
 
Huyu mama sijui dada anapitia magumu sana mahusiano yamemkataa kabisa, sikiliza universe inasemaje...

Usiforce mahusiano punzika kidogo kama ukiitaji michakato kuwa na FWB
 
Pole mwaya, be calm yupo atakayekuja kuona thamani yako. But why akuone malaya? Ulishawahi kumuonesha ishara zozote hadi akuone hivo?( ulimuomba pesa?)
Kuna kitu huyu dada anatuficha na hii ni kawaida kwa binadamu anapotoa malalamiko kwa mtu mwingine ni ngumu Sana kusema madhaifu yake, kwa maandiko mengi niliyosoma ya huyu dada inaonekana yupo desperate Sana na ana ufeminist I am sure huyo jamaa hakuwa mjinga kuna kitu kakiona kwa huyu we jaribu kupitia nyuzi za huyu dada utakubaliana na mimi
 
Mkuu nakupa kongole Kwa Hilo uliloongea,ni kweli kabisa tunakutana na rejection lkn bado tuna move on mwisho wa siku Maisha yanaendelea na tunapata wenza fresh Tu.
 
πŸ˜… Desperate- neno baya sana
 
Tatzo nyie wanawake mnajifanyaga special sana dunian kumbe na nyie waga mna fill pain πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii ni mara ya tatu unalialia kuhusu mapenzi ,na watu unaokutana nao humu JF,

JF is not a dating site, pia jaribu kutafuta mahusiano nje ya online Dating pengine yatakuwa bora kwako..

Mahusiano ya online wewe unaweza kuwa serious, mwenzi akawa hayupo serious anachukulia kama chitchat...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…