TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,661
- 23,642
ππππ nililiona hili na sababu ni hizi mada za ubunifu ambazo inabidi kupost picha nyingi kwa wakati mmoja .. Ila tafsiri yake utaijua soonπHuyu jamaa kwa kweli ni Guru, Ila siku za karibuni amepoteza kabisa mvuto na content pia.
Nyuzi anazotuma zinakosa kabisa wachangiaji, kiasi kwamba kuanzia post ya kwanza hadi ya ishirini ni yeye mwenyewe amekuwa akizituma.
Tangu ameacha uchawi, mambo yake mtandaoni yamemwendea mrama.
Mzee Mwenzangu Mshana Jr, rudi kwenye Asili yako. Wewe ni mtu wa mizimu na matambiko, huyo mrembo anayekuogesha kwa maji ya upako wa Kawe Tanganyika Packers na kukupaka mafuta ya Zaituni kutoka kwenye madhabahu ya Mnyakyusa wa Kawe anakupoteza maboya, sambuka mwana
Shukrani sana Sheikhππππ nililiona hili na sababu ni hizi mada za ubunifu ambazo inabidi kupost picha nyingi kwa wakati mmoja .. Ila tafsiri yake utaijua soonπ
Hizi si mada zinazoweza kuchangiwa na wengi kutokana na muktadha wake hivyo uwe na amani kabisa najua kwa hakika ninachokifanya . asante sana
Siku zote mada za maana hazina wachangiaji na ukweli lazima upingwe na utafutiwe kasoro na kukosolewa kinoko ila kwa content za ushee watu ni wengi mnoππππ nililiona hili na sababu ni hizi mada za ubunifu ambazo inabidi kupost picha nyingi kwa wakati mmoja .. Ila tafsiri yake utaijua soonπ
Hizi si mada zinazoweza kuchangiwa na wengi kutokana na muktadha wake hivyo uwe na amani kabisa najua kwa hakika ninachokifanya . asante sana
Pamoja sana.. Ni kazi ngumu inayohitaji muda na bundle la kujitoleaShukrani sana Sheikh
Sasa kama wewe Ile content ya kuwasifia wachaga si ni upuuzi mtupu.Siku zote mada za maana hazina wachangiaji na ukweli lazima upingwe na utafutiwe kasoro na kukosolewa kinoko ila kwa content za ushee watu ni wengi mno
Kuwasifia au ni ukweli tatizo watu mna wivu, hampendi ukweli utakuta mtu anasema ni ukabila sijui sasa ukijiuliza ukabila na ukweli ni wapi na wapi...Sasa kama wewe Ile content ya kuwasifia wachaga si ni upuuzi mtupu.
Ulianza vizuri na Mambo ya programming mara coding saizi umeishia kwenye ukabila kwanini usipoteze mvuto.
Just reminded you ulipotoka na ulipo sasa. Soon πKuwasifia au ni ukweli tatizo watu mna wivu, hampendi ukweli utakuta mtu anasema ni ukabila sijui sasa ukijiuliza ukabila na ukweli ni wapi na wapi...
Pia kwako ni upuuzi kutokana na namna unavyolichukulia jambo
πππππAtakayeuokota huo mvuto atoe taarifa kituo chochote cha polisi kilicho karibu.
TrueJust reminded you ulipotoka na ulipo sasa. Soon π
Kumbe mvuto tu.Mvuto sii maisha hivyo bado tunaye inawezekana wewe tu ndio humtakii kheri.Huyu jamaa kwa kweli ni Guru, Ila siku za karibuni amepoteza kabisa mvuto na content pia.
Nyuzi anazotuma zinakosa kabisa wachangiaji, kiasi kwamba kuanzia post ya kwanza hadi ya ishirini ni yeye mwenyewe amekuwa akizituma.
Tangu ameacha uchawi, mambo yake mtandaoni yamemwendea mrama.
Mzee Mwenzangu Mshana Jr, rudi kwenye Asili yako. Wewe ni mtu wa mizimu na matambiko, huyo mrembo anayekuogesha kwa maji ya upako wa Kawe Tanganyika Packers na kukupaka mafuta ya Zaituni kutoka kwenye madhabahu ya Mnyakyusa wa Kawe anakupoteza maboya, sambuka mwana
Kaka kwisha habari yako...π€£π€£ππππ nililiona hili na sababu ni hizi mada za ubunifu ambazo inabidi kupost picha nyingi kwa wakati mmoja .. Ila tafsiri yake utaijua soonπ
Hizi si mada zinazoweza kuchangiwa na wengi kutokana na muktadha wake hivyo uwe na amani kabisa najua kwa hakika ninachokifanya . asante sana
Asili haipotei, hekima haipoteni upendo kwa wengine haupitwi na wakati, Wala mawazo mazuri kwa watu wengine hayapitwi na wakati, nadhani mshana jr unaemuongelea humjui vizuri, unamjua kupitia nyuzi za ubunifu wa mbao nk.Huyu jamaa kwa kweli ni Guru, Ila siku za karibuni amepoteza kabisa mvuto na content pia.