Nasikia sauti ya mizinga

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
4,015
Reaction score
9,561
wadau nipo Sinza naskia mizinga inalia kama saba au nane mikubwa! aliyeko karibu atuambie
 
Mimi pia niko makumbusho hapa nikajua mabomu aisee

Mwenye taarifa zaidi ni nini maana kidogo nidondoke kutoka ghorofani huku...
 
wadau nipo Temeke naskia mizinga inalia kama saba au nane mikubwa! aliyeko karibu atuambie
 
Hakuna hali ya hatari nchini kama ingekuwepo ungejua.

Ni usafi tu wa Vifaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…