Nasikia ni WASSIRA au PINDA!

Nasikia ni WASSIRA au PINDA!

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Kuna tetesi na vurumai kuwa wanaoandaliwa kiti cha Uraisi na CCM ni Pinda au Wassira, hao wengine ni sawa na baiskeli za Mbao zimetangulizwa! Ntahama chama kama ndo hivyo!
 
CCM hawajitambui,Lowasa anawapeleka mbio yaani me nasubiria kwa hamu mchakato ufike
 
Kuna tetesi na vurumai kuwa wanaoandaliwa kiti cha Uraisi na CCM ni Pinda au Wassira, hao wengine ni sawa na baiskeli za Mbao zimetangulizwa! Ntahama chama kama ndo hivyo!
Kama uliingia CCM kwa sababu ya pesa za EL tafuta pa kukimbilia mapema. Ila usije CDM please.
 
Nani atawapigia Kura sasa maana Wassira hata watoto wake wapo upinzani..Pinda yupo kama hayupo...dunia haiishi visa....
 
Kuna tetesi na vurumai kuwa wanaoandaliwa kiti cha Uraisi na CCM ni Pinda au Wassira, hao wengine ni sawa na baiskeli za Mbao zimetangulizwa! Ntahama chama kama ndo hivyo!

Huu ndio ujinga wa siasa za Tanzania, unahama nini sasa, sera au mtu kitakachokuhamisha
 
Upo CCM kwa ajili ya mtu fulani au sera na itikadi ya chama?

ccm ni dead person ama chama chochote ni dead person kama ilivyo kwa kampuni. Sasa ili iendelee inahitaji mtu active sana. Sisemi hawa watu siyo active, bali siyo active sana!
 
Kama kuna tetesi za uongo ni hii. Nimeshahakikisha kuwa si mwingine bali Dk. Kigwangala. Amejinasib kuwa ataweza kutoa doze kwa upinzani kwani hata BMK ni yeye aliweza kuwanyamazisha mpaka wakatoroka humo woooote.
Long live our Presidor Dk. Kigwa
 
Ni zamu ya Zanzibar rais wa muungano namsikita akitajwa balozi mkaazi wa Zanzibar Seif Ali Idi
 
Wasira na pinda,walienda kanisani,wote wakajikuta wamekaa jirani bila wao kufahamu kuwa wamekaa pamoja.Baada ya ijili padre akasema kila muumini amtazame jirani yake amwambie jirani wewe ni mzuri,wewe mwana jf una fikili nini kilitokea?
 
Upepo hamuuoni? Zamu yetu Sengerema mtoto wetu kijana mwaminifu mchapa kazi NGELEJA lazima safari hii alete vingora.EL kachoka jamani tuwaachieni vijana akina Makamba,Kigwangala na Ngeleja.Ila mambo yote kwa kijana wa NYANCHENCHE Ngeleja.Ila vingora hapa Mwanza huwa hatuvipendi sana,tunapenda vidogo vidogo kama vya juzi vya Malimu SEIF
 
Ni kweli hata mi nimesikia watakuwa marais wa vivutio vya watalii. Mmoja atakuwa hifadhi ya Gombe na mwingine hifadhi ya katavi kila mtu atakuwa rais katika hifadhi yake.
AMAKyasa,this is a serious and thought provoking column.Send this thread to the Jokes section.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom