Nasikia mambo yamebadilika niuze au nile

chongoe

JF-Expert Member
Mar 22, 2019
1,128
2,717
Karibuni
FB_IMG_16099500100122035.jpg
FB_IMG_16159188535461063.jpg


Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Mazingira waliyopo hayavutii mteja kununua (wamewekwa bila kuzingatia usafi hasa hao walio chini na ukuta haueleweki kama ni wa eneo lipi la nyumba).

Ukiacha alfu lela ulela za tafsiri zinazoletwa na macho, hiyo chakula ni madini / virutubisho vizuri sana kwa mwili wa binadamu.

Ukinipa lokesheni naja nunua kilo 3.
 
Back
Top Bottom